Hivi Hero Mzozo yupo?Somebody told me amekuwa MTU wa mkeka
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa NdichiMzozo yuko na friends Ranger yake, ila pia anauhusika fulani na Azam siunajua tena yeye ni moja ya waanzilishi wa Azam yuko karibu kiasi na watoto bakhressa..
Issue za Hamidu Kalapina anaweza kuzijua vizuri maana kunakipindi katikati miaka ya 2014/15/17 walikuwa marafiki sana kati ya Kalapina, Hamidu na marehemu Thomas Mashari..Japokuwa kuna kipindi nilisikia Hamidu yuko Segerea..
Khaaa!bila bila.Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Ngeli za kitaa hizo jombaaKhaaa!bila bila.
ndani, jela, nyavuniNdichi ndiyo nini?
Ndichi ndo niniNgeli za kitaa hizo jombaa
Kuvuta=kufaKhaaa!bila bila.
heri mzozo na big papa... wahuni wakongwe.Hivi Hero Mzozo yupo?Somebody told me amekuwa MTU wa mkeka
huwezi kuelewa... hizi story tunazielewa sisi tu watoto wa kihuni tuliokuwa familiar na wahuni wa mitaa ya ubungo, mabibo, kigogo na manzese.Khaaa!bila bila.