kha!!! jamaa papuchi inamsubiria...huyu anategeshewa mimba
Utoto huu...Kwani huna namba yake ya simu hadi usemee JF?
Si angemPM tu?
Hongera kwa kumkumbuka mwenzako, ila matangazo acha.
Kwanini aache... wakati mapenzi .ni kikohozi....?
Mvua, baridi, upweke lohhhh....Mbona nina hamu ya kukumbatiwa!! Maana najiona nakakaa kwa baridi, sitaki joto la moto wa kuni,nataka joto la yule nimpendae.Joto la moto lasinyaisha ngozi, joto la nimpendae laleta mahaba na hamu.Njoo wangu wa moyo ndyoko unipe raha za duniani.I miss you my darling.