Nimeamua kuja na id mpya ili kulinda heshima yangu,
Nianzie hapa miaka miwili iliyopita nilipata mpenzi binti fulani asiye na makuu mwenye aibu na staha zake, Mwanaume nikajiweka jumla maana tabia zake zilinivutia,.
Mapenzi moto moto , basi baada ya mapenzi kushamiri tukaw tumezoeana sana , Akawa anakuja home tunaangalia moviea za utupu day one katika kutuzama ikafika point mdau anapiga deki uani, Mara kaendela na mambo mengine yasiyo na staha kwa jamii, .
Binti akasema tujaribu nikapinga kila siku akawa anahimiza, anasema sitaki kumpa raha kama alizokuwa anazipata mwanamke mwenzie, simpendi basi anatafuta wa kumfanya hivyo , kidume nkamwambia atulie next week ajiandae , ok the day ikafika kwa kuwa niliahidi ikabidi nifanye ila kishingo upande baada ya hapo nikaweka msimamo kuwa siwezi kumwaribu mwanamke ambaye nina guture nae nitakuwa napiga deki tuu akakubali .
Zaidi ya mwaka na nusu, ukapita nikawa ninadeki tuu , juzi kasema panawasha panahitaji kukunwa , nikapinga nkasema nitadeki kama siku zote , .Kanuna kaondoka mpaka leo sijamwona anachodai anatafuta mwanaume wa kumfanya hivyo , kiukweli siwezi rudia tena hiyo makitu japo mwanzoni nilifanya ila Bibie nampenda sana na home anajulikana kama mchumba na kwao ninajulikana.
Nipo njia panda wakuu