Nashukuru Mungu Tanzania tuna Membe

Nashukuru Mungu Tanzania tuna Membe

Sijamwelewa amesema membe au kamanda slaa
 
Nashukuru mungu Tanzania tuna kiongozi Membe ambaye ni serious, anaelewa mambo kwa undani, ana uzoefu wa ukweli, anaona mbali na anajua Tanzania inahitaji nini kujiendeleza. Kwenye dunia ya sasa ya technologia Tanzania inaweza kuendelea haraka sana kama ikipata kiongozi kama Membe ambaye anajua dunia inapoenda mfano sasa hivi kuna watu India wanafanya kazi za account za kampuni za Canada!, Bank ya marekani lakini customer service ipo Agentina. Kazi za miaka ijayo hazitatokana na kuchukia Wakenya na wahamiaji kwani mtu yeyote anaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani kama kuna mawasiliano na ujuzi wa uhakika. Gas yetu vilevile inahitaji mtu anayejua mambo kwa undani badala ya ushabiki wa wanasiasa wengi wa sasa. Tanzania inahitaji raisi mjuzi na anayejua mfumo wa uchumi, banking system ya kisasa, uhamiaji na solution za kisasa. Kwa mawazo yangu baaada ya kusikiliza na kuongea na vi0ongozi wengi akiwemo Sumaye, Lowasa, Kikwete, Sitta, magufuli, sefue, Nyalandu, Mbowe, Zitto na nikizingatia mambo yote Membe ndiyo naona anafaa kuwa raisi wa Tanzania kwa kipindi hiki na atakuwa raisi kwasababu Tanzania haitaweza kupita hii nafasi. Hana washabiki lakini ni kiongozi makini

nadhani kuna tofauti kati ya mungu na Mungu
 
Mkuu tumekusikia tunakutakia weekend tulivu
 
mkuu sio kwa sababu ya regionalism,ila tu nimejisikia kurejea ,kurefer kwa mkapa,kwani walio wengi waliponda sana mkapa alipotangaza nia ya kugombea urais,hakuna aliyefikiri kama angewaza kuwa candidate wa ccm,hakuwa miongoni mwa wanasiasa waliokuwa wanafikiriwa kuwa rais,hiyo ndio sababu mkuu!
You're right, no one expected him; absolutely NOBODY!
 
Mleta uzi alikua anajaribu kupima kina cha bahari kwa kidole,2015 hatuhitaji mtu dhaifu tena,miaka 10 ya jk katuachia madeni makubwa sana,Cag kasema nchi imefilisika,tatizo letu watz hatuheshimu taaluma,CAG kashatoa mwelekeo na wazir wa fedha kakiri,wizara ya membe ndiyo kwa sasa inafuja hela za walipa kwa safari za nnje ya nchi kila kukicha,tunahitaji mtu mwenye upeo wa mambo kwa sasa siyo wachumia tumbo,EL angalau kuliko membe,tuachane wapiga fitna,El akisema moja ni moja kweli na kazi zinafanyika,utawala wa jk tembo wetu wameisha unataka kutuambia membe au jk hawajui kinacho endelea?
 
Wewe Ukanya shilungo ndio huna ubongo kabisa!! Kwa hiyo kama tulikosea kumpa Mkapa ndio tusijirekebishe? Acha ulofa jibu hoja sio kutoa visa vya uke wenza hapa. Oooh Mkapa kapewa na mimi nipewe!!! Utaliwa ohooooo

Mkuu ulimeruhusiwa lini toka Mirembe?
 
Tanzania tulipo sasa hatutakiwi kuwa na rais mwenye ngonjera za jukwaani bali mwenye uwezo wa kutamka na kutenda kwa maslahi ya taifa si chama chake na watu wake.
 
Dunia ya siku hizi hatuwezi kuchagua watu kwa Mvuto! ni lazima tuchague kwa kigezo cha maendeleo. Ni watu wachache sana wenye mvuto na uwezo mfano Dr Slaa anayo yote na ana kipaji kuliko mwanasiasa yeyote Tanzania kwa sasa lakini nikizingatia umri na nguvu ya upinzania naona kama Membe anatakuwa na nguvu zaidi. Mimi kibinafsi nawapenda Magufuli na Lowasa lakini kwa manufaa ya Tanzania nafikiri Membe ni mzuri zaidi. Mvuto wa mtu haujengi barabara, hau imarishi elimu, hautasaidia kutuletea maendeleo kwenye gas, maji vijijini, na umeme vijijini. Kama tunaangalia mvuto basi tuchague wanamuziki kama Diamond kuwa raisi! Membe ni serious na tanzania inahitaji mtu serious kwasababu tuna utamaduni na legelege sana na ushabiki
 
Sasa kimundu ndio nimekuelewa hoja yako. Kwa sababu gas inatoka mtwara ndio lazima tupate rais toka huko? Hata akiwa bishoo? Hebu kwanza tupe japo dondoo ya maendeleo aliyoyaleta Membe tangu aingie madarakani japo Kwa muhtasari tu.
 
Naomba kama sio mbinafsi jaribu kulinganisha utendaji kazi na ukakamavu wa ama Magufuli au Mwakyembe against Maembe. Kwako Kimundu na Ukanya.
 
Kama nilivyosema sio kwenye ushabiki maana kuna watu hata walarushwa wa waziwazi watakataa lakini tukijiuliza swali Tanzania kwa sasa inataka mtu wa namna gani jibu langu ni Membe na Migiro naye anaweza. Wengine wana tamaa au upeo wa chini na hawajaona mengi duniani
 
hahhahhhaha of all people Bernard membe an empty basket ,chicken head hahhhaah NIKIW RAIS nyerere atafurahi
 
Huyo mwambieni akaendelee kusali kwenye makaburi ya wafu... Hawezi kua rais wa nchi hii hata uwaziri alioewa kwa fadhila za braza tu... Weakest aspirant ever! Ni bora tumpe yule mkulima bihole.. Ccm wangemnyima hata form huyo
 
Mleta uzi alikua anajaribu kupima kina cha bahari kwa kidole,2015 hatuhitaji mtu dhaifu tena,miaka 10 ya jk katuachia madeni makubwa sana,Cag kasema nchi imefilisika,tatizo letu watz hatuheshimu taaluma,CAG kashatoa mwelekeo na wazir wa fedha kakiri,wizara ya membe ndiyo kwa sasa inafuja hela za walipa kwa safari za nnje ya nchi kila kukicha,tunahitaji mtu mwenye upeo wa mambo kwa sasa siyo wachumia tumbo,EL angalau kuliko membe,tuachane wapiga fitna,El akisema moja ni moja kweli na kazi zinafanyika,utawala wa jk tembo wetu wameisha unataka kutuambia membe au jk hawajui kinacho endelea?

Kaiba mapesa ya marehemu Gadafi sasa anayatumia kununua Goli la mkononi
 
hahhahhhaha of all people Bernard membe an empty basket ,chicken head hahhhaah NIKIW RAIS nyerere atafurahi
Membe siyo empty basket.
Membe ana akili, tena above average.
Tatizo ni moja tu, Membe ni mwizi.
Tena mwizi wa kitoto.
Milioni ishirini, dolari za Gadafi alizosema zinajenga kiwanda Lindi ni uongo.
Tena uongo wa mchana kweupe.
Kiwanda hakijajengwa wala hakitajengwa maana hata vile vyuma chakavu vilivyokuwa
vimerundikwa pale Lindi vimebaki robo. Vimeuzwa.
Alichosemwa kimejengwa kwa asilimia 45 hakipo.
Membe ni mwongo na mwizi
 
Nashukuru mungu Tanzania tuna kiongozi Membe ambaye ni serious, anaelewa mambo kwa undani, ana uzoefu wa ukweli, anaona mbali na anajua Tanzania inahitaji nini kujiendeleza. Kwenye dunia ya sasa ya technologia Tanzania inaweza kuendelea haraka sana kama ikipata kiongozi kama Membe ambaye anajua dunia inapoenda mfano sasa hivi kuna watu India wanafanya kazi za account za kampuni za Canada!, Bank ya marekani lakini customer service ipo Agentina. Kazi za miaka ijayo hazitatokana na kuchukia Wakenya na wahamiaji kwani mtu yeyote anaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani kama kuna mawasiliano na ujuzi wa uhakika. Gas yetu vilevile inahitaji mtu anayejua mambo kwa undani badala ya ushabiki wa wanasiasa wengi wa sasa. Tanzania inahitaji raisi mjuzi na anayejua mfumo wa uchumi, banking system ya kisasa, uhamiaji na solution za kisasa. Kwa mawazo yangu baaada ya kusikiliza na kuongea na vi0ongozi wengi akiwemo Sumaye, Lowasa, Kikwete, Sitta, magufuli, sefue, Nyalandu, Mbowe, Zitto na nikizingatia mambo yote Membe ndiyo naona anafaa kuwa raisi wa Tanzania kwa kipindi hiki na atakuwa raisi kwasababu Tanzania haitaweza kupita hii nafasi. Hana washabiki lakini ni kiongozi makini

Membe ni mwizi na Fisadi kuliko Mtanzani yeyote Kama ulikuwa haujui sasa tambua hilo, pesa za 10% ununuzi wa Nyumba za balozi nje ya Nchi, pesa za Safari za nje na pesa kwa ajili ya wageni wa kimataifa zote hizo membe afuja kote, Membe huyo huyo alikwapua Mali na mapesa ya Marehemu Gadafi na ili kuficha Ushahidi balozi akafa kifo cha Utata , membe ndiye kinara wa vikundi vya kuchafua wengine kwenye mitandao , wewe Kama kakutuma umfagilie nenda kamwambie fagio limevunjika mapema.
 
Nashukuru mungu Tanzania tuna kiongozi Membe ambaye ni serious, anaelewa mambo kwa undani, ana uzoefu wa ukweli, anaona mbali na anajua Tanzania inahitaji nini kujiendeleza. Kwenye dunia ya sasa ya technologia Tanzania inaweza kuendelea haraka sana kama ikipata kiongozi kama Membe ambaye anajua dunia inapoenda mfano sasa hivi kuna watu India wanafanya kazi za account za kampuni za Canada!, Bank ya marekani lakini customer service ipo Agentina. Kazi za miaka ijayo hazitatokana na kuchukia Wakenya na wahamiaji kwani mtu yeyote anaweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani kama kuna mawasiliano na ujuzi wa uhakika. Gas yetu vilevile inahitaji mtu anayejua mambo kwa undani badala ya ushabiki wa wanasiasa wengi wa sasa. Tanzania inahitaji raisi mjuzi na anayejua mfumo wa uchumi, banking system ya kisasa, uhamiaji na solution za kisasa. Kwa mawazo yangu baaada ya kusikiliza na kuongea na vi0ongozi wengi akiwemo Sumaye, Lowasa, Kikwete, Sitta, magufuli, sefue, Nyalandu, Mbowe, Zitto na nikizingatia mambo yote Membe ndiyo naona anafaa kuwa raisi wa Tanzania kwa kipindi hiki na atakuwa raisi kwasababu Tanzania haitaweza kupita hii nafasi. Hana washabiki lakini ni kiongozi makini

Membe ndiye nani?
 
Back
Top Bottom