Nashukuru Mungu Tanzania tuna Membe

Nashukuru Mungu Tanzania tuna Membe

Mkapa kabla ya kuwa rais alifanya jambo gani lilitukuka? zaidi ya kuwa waziri kwa nyakati tofauti kama membe!jaribu kuhusisha ubongo wako unapoandika! kenge mkubwa!

Aende akawe rais wa wamwera
 
Mtu yeyote anaweza kuwa Raisi wa Tanzania maadamu apitishwe kwenye vikao vya CCM na hatimaye mkutano mkuu wa CCM. Upinzani labda wafuate ushauri wa Sabodo, kitu ambacho ni impossible.

Kwa ccm hakuna aliye msafi kuweza kupewa nafasi ya urais
 
Membe siyo empty basket.
Membe ana akili, tena above average.
Tatizo ni moja tu, Membe ni mwizi.
Tena mwizi wa kitoto.
Milioni ishirini, dolari za Gadafi alizosema zinajenga kiwanda Lindi ni uongo.
Tena uongo wa mchana kweupe.
Kiwanda hakijajengwa wala hakitajengwa maana hata vile vyuma chakavu vilivyokuwa
vimerundikwa pale Lindi vimebaki robo. Vimeuzwa.
Alichosemwa kimejengwa kwa asilimia 45 hakipo.
Membe ni mwongo na mwizi

Membe kupora mali kibao za marehemu Gadafi zikiwemo pesa cash zilizopelekea kifo cha utata cha balozi wa libya, kule wizara ya mambo ya nje wanaijua michongo yake yote jinsi anavyopiga pesa, membe hana huruma na mtu ni mpenda Visasi hakuna mfano.
 
Hakuna cha Membe wala maembe hapa, Chama Cha Mizigo lazima kizolewe kizimakizima na mafuriko ya ukombozi wa pili, bila kujali nani yumo humo, kama daraja dhaifu la Dumila lilivyozolewa na mafuriko, na kutupwa kuleee! Makamanda, chochea moto, chochea motooooo!!!!!

Mkuu tupo pamoja katika timbwili hilo hadi magamba yatoke mkuku
 
Mara mia lowasa kuliko hatari ya membe. Simpendi lowasa kwa wizi ila mchapakazi. Membe mnafiki hafai. Membe akiwa mara mia ukawa.
 
Mara mia lowasa kuliko hatari ya membe. Simpendi lowasa kwa wizi ila mchapakazi. Membe mnafiki hafai. Membe akiwa mara mia ukawa.

Ukawa ni wazuri Mara 100 kuliko membe kwani hafai hata kuwa diwani
 
Kwa ccm hakuna aliye msafi kuweza kupewa nafasi ya urais

Wote sio wasafi lakini wapo wenye unafuu kasoro membe ambaye uchafu wake unatisha sana, wapo wajanja ndani ya ccm wamejitoa Fahamu sasa wanakula mapesa ya Membe kisha kumdangaya kuwa kuna Goli la mkononi , membe kagawa sana pesa toka kwenye Yale mapesa ya marehemu Gadafi akiamini zitamwezesha kuingia ikulu kiulaini.
 
Membe hana sifa hata moja ya kuwa kiongozi wa Nchi kwani madhambi yake ni mengi sana Kwa kweli wakimpa Goli la mkono Ukawa watakuwa wamepata njia rahisi ya kwenda ikulu.
 
Afadhali profesa maji marefu

Huyo Kwa sasa kawa lulu kaamua kuludia kazi yake ya Uganga sasa anakula vichwa kiulaini kwani hivi sasa kuna waganga takriba 20,000 Dodoma wengi wakiwa ni wa membe na January Makamba ingawa Mkulima naye wamo wamo Kidogo ,
 
Membe hana sifa hata moja ya kuwa kiongozi wa Nchi kwani madhambi yake ni mengi sana Kwa kweli wakimpa Goli la mkono Ukawa watakuwa wamepata njia rahisi ya kwenda ikulu.
 
KWANINI TUNAMHITAJI JANUARY ?
Zaidi ya 85% ya wafanyakazi na nguvu kaziTanzania ni vijana walozaliwa baada ya Uhuru 1961. Nusu ya vijana hawa nikizazi cha Millenia walozaliwa miaka ya 1980’s na wana umri wa wa chini yamiaka 35.Hawa wengi ni dot.com generation haawakuwepo nchi hasa ilipitia hatuagani hadi kufika hapa tulipo fikia. Hawajui yalio tokea wakati wa kujaribu serambali mbali kuanzia ubepari , Ujamaa , liberised economy , hawakuweponchi..ilipokuwa na raha na shida mbali mbali .Wengi hawajui zaidi ya kusomanchi wakati wa Ujamaa ilikua na ladha gani.wengi wamekuwa na matarajio namafanikio makubwa hasa kama yanayotokea katika nchi za wenzetu.Utandwaziunawafanya wawe na matumaini ya kufika sehemu ya kutia moyo kiuchumi na mandeleo ya nchi yao. Wengiwanapenda kuona wanaondokana na foleni zisizo isha, wangependa uwepo wa trainza kasi kutoka Dar es salaam hadi Mwanza. Wanapenda kuona nchii hii inakuwa nashirika lake la ndege..pia wanapenda waone elimu inayotolewa iwe ni elimu borainayomjenga kijana kuweza kujitolea.hakika matarajio yao ni makubwa mno..Lakiniutabaki matarajio ya vijana hawa na mafanikio ya kiuchumi kwa ajili ya kizazihichi si hasa ya kutia moyo..yana katisha tamaa na vijana wanapunguzauzalendo,wanaingia katika biashara hasi na wamekataa tamaa.
CHANGE.
Tanzania inahitaji mabadiliko ya uongozi –Inahitaji Kiongozi kijana anaye elewa nini wananchi wa sasa wanahitaji.Tunahitaji kiongozi mwenye wivu wa maendeleo mwenye kuona mbali na kuanzasafari ya kuipeka Tanzania katika maendeleo ya kisasa. Kiongozi ataehakikishavijana wanapata elimu bora kabisa ambayo itawawezesha wenyewe kujiajiri.Kiongozi mzalendo ataeweka maslahi ya nchi mbele kuliko malsahi ya CorporateEntity za nje ambazo lengo lao ni kuzinyonya nchi hizi.
Tumepita miaka 53 sasa ya uhuru viongozi wengi ni wale wale ambao tumetoka naotangia uhuru na wengine baada ya uhuru lakini mind zao na uwezo wao bado ni wa60’s na 70’s hawa tunawashukuru , wamefanya mengi sasa Taifa linahitaji CHANGE, linahitaji kijana mkakamavu, mwerevu , mzalendo, mwenye uwezo wa kutuvushahapa tulipo na kutupeleka kuleeeeee...kama alivosema Kikwete leo bungeni.


Viongozi wetu kisiasa

Hali ya kisasa Tanzania kwa ujumla ni mabaki ya wakoloni bado sisi ni memba waCommon wealth Jumuiya ya watawaliwa wa Uingereza na ‘Mkubwa’” wetu ni Malkia wauingereza na akifa ni yoyote katika watoto wa jumba hilo la mfalme.Nchi kamaMarekani na Canada –Quebec , Zimbabwe na Gambia walijitoa kwani waliona kuwepokatika Jumuia hii ni sawa ya kuwa chini ya ukoloni mambo leo wa Kifalme waUingereza.

Mifumo iliowekwa na wakoloni , elimuiliyotolewa viongozi walotayarishwa kuongoza nchi hizi huru ‘walitekwakimawazo’ na bado waliendelea kuwa watiifu kwa wakoloni hao. . Wakati wa uhuru,baadhi ya wasomi walijaribu kubadilisha lakini hawakufanikiwa ama yalitokeamapinduzi ya kijeshi au viongozi walijimilikia madaraka na kuweka maslahi yaohivyo wasomi hawa walipata matatizo na watawala. Bado nchi nyingi za kiafrikana Tanzania ikiwamo inategemea sana wale wale walokuwa wakoloni wa mataifa hayabaada ya zaidi ya miaka 50 ya kuwa huru.Tatizo hili lipo zaidi Afrika. Nchizote nyengine nje ya Afrika mfano Malaysia, Indonesia,Thailand,Philipines,Singapore, India, UAE, Oman, zimepiga hatua kubwa za maendeleo kamanchi huru zilizopata uhuru wao miaka sawa na sisi Tanzania.
Wakati Lee Kuan Yew Waziri mkuu wa kwanza Singapore akiibadilisha nchi hiokutoka kisiwa cha wavuvi hadi kuwa moja ya nchi zilizo endelea na viwanda sisitulibaki wategemezi na moja ya nchi masikini duniani.
Tujiulize kwa nini ? Nchii yetu ina kila kitu
· Watu
· Rasilimali
· Amani
Jee tumekwama wapi ? bila ya shaka tatizokubwa lipo kwenye
· Elimu duni
· Uongozi wa kikale
· Umimi
· Uzalendo kubaki ni rangi
· Uoni mfupi
Jee nini cha kufanya...
CCM ni chama pekee ambacho kama Taasisikimejijenga na kinaweza kuamua kuwa sasa Watanzania wanataka Kiongozi Mpya ,Kijana , Msomi mwenye uwezo wa kutuvusha hapa katika lindi la mkwamo wamaendeleo...lakini lazima CCM ifumbe macho katika kuamua, bado masalia ya zakale wapo na wana nguvu za kifedha na support ya watu ambao wanahakikishastatus quo inaendelea ili wafaidi keki ya Taifa pekee yao bila ya kujalimaendeleo ya Nchi ..
Jee ni nani katika wagombea wa CCM ambayendie atakua Lee Kuan Yew wetu ?Bila ya shaka yoyote..ni JANUARY MAKAMBA
Sifa na uwezo anao.Kama kweli tunataka kuondokana na majungu na siasa za 60 na 70 baso Januaryndio suluhisho.



 
Please .Membe??Hapana Hafai Kuongoza nchi huyu jamaa
 
Huyu Membe si alisema alikwenda kwenye kaburi la Nyerere kuomba kibali cha kuvaa viatu vya JK, akasema akiwa raisi hata Nyerere atafurahi sana. Akasema asipopitishwa atamsapoti Mwandosya kisha akabadilika akasema asipopitishwa atamsapoti Pinda. Hana msimamo huyo hatufai na anaamini mizimu.
 
Back
Top Bottom