ungekuwa mwanafunzi una zero ,umeshindwa kuelewa pointi yangu,imetokana na kuwa membe ana credibilty gani mpaka kuwa candidate? Nikauliza mkapa alifanya nni kilichotukuka akiwa waziri mapaka akawa candidate wa ccm? Sio alichofanya mkapa akiwa rais! Ushauri mkuu kuna clinic imeanzishwa ya kuchuja kinyesi na kubakisha ubongo amba ni pure! Kama vipi ungeenda kupata huduma ni bure hamna malipo.
Kifupi mimi sio ccm lakini namkubali sana membe!
Zero sio...ningepata zero katika somo lolote lakini km mtihani ungekuwa kama hii thread yako....kwangu ingekuwa over qualification perfomance.....hatuna majina hapa katka nani atatufaa kuwa rais....kwa statement yako ya kusema wewe sio CCM lakini unamkubali membe...inaonyesha wazi ulivotumwa...!! siasa ya tanzania hakuna banian mbaya kiatu chake kizuri....!! haijaandikwa popote kuwa kila raisi ajaye katika tanzania lazima awe amepitia wizara ya mambo ya nje.....kwangu mm waziri yeyote katka hiyo wizara kulingana na JD yake akipewa forum katika media yeyote....katka kuelezea NCHI katka nyaza za kimataifa utaona tu yuko vuzuri na ukadhani yy ndio waziri mwenye maakili kuliko wote barazani....!!anachofanya membe ni kazi yake..na JD yake....sawa tu ukimlinganisha na Magufuli...jinsi alivo na good exprience ktk wizara ya ujenzi...sasa leo, Membe aongelee Congo, Darfur, south sudan, EAC..... sijui UN-Chapter 7 na 6...(uliona alivochemka ktk 45 minutes ITV)...!!NDIO ukampima kuwa ana credibility ya kuwa candidates..in presidential post!? yeye ndio anaweza sema ndio naweza kwangu mm nasema hana dream hiyo toka moyon kwa sababu alishasema mpaka aoteshwe..pia ni tamaa tu aliyonayo kuwa umeshakuwa foreign minister...anataka kurudi zile nchi anazotembelea km waziri akiwa rais....sasa tunataka kiongozi mwnye kujua siasa za ndani...Global iko wazi unaweza kujua hata habari za china hata km hujaenda china au marekani.....!!
Unamkubali membe wewe si ccm!? yes uko right labda si kichama au kikusini zaidi...au kidini zaid? au tu kwa sababu uwapendi unaowasikia kuanzia katika chama chako au hata wengine wa ccm...!!
Umempima membe katika haya na kumkubali????
- Hivi unajua work perfomance yake membe katka wizara yake au kabla hajaja mambo ya nje? baada migiro? au unamkubali kujibu hoja za congo? unafikir wazir wa nje ni kwa ajili vita?
- Hivi unajua kwa kiasi gan akiwa mbunge jimbo lake amelifanyia nn? fanya simple research mwenyewe nenda mtama alafu nenda Chato kule kwa magufuli uone wabunge wanafanya nn kwa wapiga kura wao..!!
- Umefuatilia teuzi za mabalozi mwambata wa mabolozi wa kwenda ugaibuni ulivogubikwa na sefishness na uongozi wake na hata kunung'unikiwa na watendaj wake wizaran...
My take kila kiongozi ni binadamu ana madhaifu yake awe membe au mwingine....au mm na wewe..unapoleta mjadala wa mtu lete katka mizani iliyokamilika...ni wakati watanzania tuwajadili watu...hata kwa udhaifu wao nao wajue....then ndio watascore hiyo credibility.....tuwapime...asipochafuka atajifunza vip usafi....!! MEMBE BADO.....!!SI WELEDI....TU ...BALI PIA....TUNATAKA MTU ALIEKUWA MBALI ZAIDI NA HALI HII TULIONAYO...AU SERIKALI YETU IMEKUMBANA NAYO...TUNAPOSEMA MIKATABA MIBOVU YA MADINI, GESI, UWEKEZAJI, MATUMIZI MABOFU YA BALOZI ZETU...SAFARI ZISIJO NA TIJA ZA KITAIFA,,BASI WIZARA NA MTU KAMA MEMBE ANAHUSIKA IN PERSON KATKA YOTE NILIYOTAJA HAPO JUU.....!!HATUTAKI KUONA UONGOZI KAMA VILE WATU WAMEKAA KATKA BENCHI LA KUMUONA DAKTARI MMEPANGA FOLENI AKITOKA HUYU MIMI!!!!HATUWEZI KUENDELEA KAMA TUTAENDELEA KUANGALIA SURA ZA WATU KATIKA HILI...HATUWEZI KUKUBALI KUFANYA MAKOSA KWA MIAKA 10 IJAYO KUMCHANGUA KIONGOZI ALAFU MIAKA YOTE 10 TUNALALAMIKA TUUUUUUUUUUUU!!