babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,301
- 20,881
Hapo Chini ndio panaumia usituletee ujinga hapa.Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?