Hujambo best?Nimeamini leo wanaosema wewe ni mwanaume
Sijambo dear za weweHujambo best?
Mmh!! Dume hiliMamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Umeona mambo hayo?
Njema kabisa tunamshukuru Mungu, hili jua linafanya tusionane humuSijambo dear za wewe

Mwachiluwi / figo76 machoko nyie 🚮Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Mambo nayaona hapo mdomoni na kifuani ila chondechonde acha kula kuchaUmeona mambo hayo?
Ngoja wasaga sumu waje,
Utaambiwa ulipie tangazo![]()
Mida ya sprinkles totoo,aya nipe location nifike chaaapUmeona mambo hayo?
UkorofiMambo nayaona hapo mdomoni na kifuani ila chondechonde acha kula kucha
Kaka ma j umeshampandisha cheo nn mbona kimya sana sikuhiz😀😀😀Ngoja wasaga sumu waje,
Utaambiwa ulipie tangazo![]()
Maj yupo,Kaka ma j umeshampandisha cheo nn mbona kimya sana sikuhiz![]()
Zidi kumuomba Mungu akubariki na kukulinda maana hujafa hujaumbika.. In a blink of an eye kila kitu kinaweza kubadilika... Nakuombea...!Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?
Ngoja wasaga sumu waje,
Utaambiwa ulipie tangazo![]()

et ngoja waje wakati tayari ushamwambia.