Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,701
- 43,181
Bila vivid examples with pictures 🖼️🖼️ huu Uzi ni batili weka picha mkuu😂😂🤣🤣🤣🤓🤓😊☺️Mamboz.
Kiukweli nashukuru Mungu kwa kuniumba mzuri na kunipa na shape.
Nimepata maisha connection na vingi kupitia huu uzuri wangu mie.
Kuna yeyote uzuri umekusaidia ?