Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
- Thread starter
- #41
sawa kabisa mkuu fanya kazi ndiyo heshima... na si kufanya mapenzi sawa shemeji
sawa shemeji langu la ukweee, kuna makabila mengine ukijiweka ukubaliane na kujituma.
sawa kabisa mkuu fanya kazi ndiyo heshima... na si kufanya mapenzi sawa shemeji
mmmh ndo maaana kanikimbia,.....Kijana leo usiache kuongeza idadi ya nyumba na magari kuweka heshima home la sivyo utasikia chasaka nyingi... joke
Hatimaye leo tumetimiza mwaka mwingine mpya katika mahusiano mimi na mwenzangu, nashukuru Mungu kwa uzima na afya njema, tunapendana kwa nyakati zote, hata nilipopata ajali alikuwa bega kwa bega nami. Ee Mungu tusaidie kutimiza yale malengo yetu tuliyopanga. Nakupenda sana chanda chema wangu ............... Happy New year in our relationship.:busu wimbo wetu wa mwaka ni upendo wa kweli by Ambwene mwasonge.
ndoa lini sasa
Man dont express their emotions, they show their wealth...Chinua Achebe in THINGS FALL APART...Nilitegemea maneno kama haya kuzungumwa na mwanamke kumbe hata watoto wa kiume husema pia?
kila jambo na wakati wake wangu, so ukifika basi mambo yatakuwa sawa.mwaka mzima katika mahusiano!!!!!!!!!????? what are you waiting.!!!,????????????? I doubt.......!
heheehe chaggaz hawataki mwanaume lelemama lol
mwakani majira kama aya ntakuwa tayari tupo ndani ya nyumba, kuna mambo tunayaweka sawa, mpka mwishoni mwa mwaka huu basi mambo mswanu.
usisahau kunialika
Kuna nni hapa mwongozo pls baby Mokoyo