Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
hongera sana kaza but usije nyang'anywa tonge na wajanja
Hatimaye leo tumetimiza mwaka mwingine mpya katika mahusiano mimi na mwenzangu, nashukuru Mungu kwa uzima na afya njema, tunapendana kwa nyakati zote, hata nilipopata ajali alikuwa bega kwa bega nami. Ee Mungu tusaidie kutimiza yale malengo yetu tuliyopanga. Nakupenda sana chanda chema wangu ............... Happy New year in our relationship.:busu wimbo wetu wa mwaka ni upendo wa kweli by Ambwene mwasonge.
mkuu hupaswi kumshukuru Mungu kwenye uzinzi, hebu tumuogope huyu mungu basi.
hongera sana kaza but usije nyang'anywa tonge na wajanja
teh teh teh, asante sana, ntamwambia miss chaga anipeleke uchagani akanitambikie, maana ni mchaga mwenzake.
hongera kijana
Mkuu usimpe nafasi ibilisi mambo ya kukaa na mwanamke miaka minne sijui mitano ya nini? unamgegeda tuu si sawa unamshusha thamani pia .Mambo yakikaa sawa vuta kabisa ndaniasante kwa ushauri, nimeuchukua nami nitaufanyia kazi haraka sana, kwani ndio lengo letu hilo.
hHahaha cc miss chagga
hongera sana kaza but usije nyang'anywa tonge na wajanja
kaka uchumba ndio hatua ya awali, na tunamuomba Mungu pia, so tunamshukuru Mungu pia.
mmmh ndo maaana kanikimbia,.....Kijana leo usiache kuongeza idadi ya nyumba na magari kuweka heshima home la sivyo utasikia chasaka nyingi... joke
haaaaaaa, usijali chezea kuulizwa umeingisa sh ngapi? anataka kabati la mbeo kama sijakosea lijae muda wote ukifungua harufu ya mazagazaga, sio unafungua na kukutana na harufu ya mende.
huo ni uzinzi lakini ukae ukijuwa, usimshirikishe mungu bali omba toba tu kwamba umetimiza mwaka mmoja wa kuzini.
hongera zako
kila la kher mfikie malengo yenu
asante sana mamaa, michepuko sio dili kwa sasa. Mungu asaidie kwakweli, maana mahusiano ya sasa hivi hataree..