Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
Hatimaye leo tumetimiza mwaka mwingine mpya katika mahusiano mimi na mwenzangu, nashukuru Mungu kwa uzima na afya njema, tunapendana kwa nyakati zote, hata nilipopata ajali alikuwa bega kwa bega nami. Ee Mungu tusaidie kutimiza yale malengo yetu tuliyopanga. Nakupenda sana chanda chema wangu ............... Happy New year in our relationship.:busu wimbo wetu wa mwaka ni upendo wa kweli by Ambwene mwasonge.