Nashukuru kwa majibu yenu.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Huwa nayapenda sana majibu ya wana-jf, asa leo nataka kujifunza kutongoza mschana, hebu niambieni nikasemeji nikishakutana nae??
 
Moyo wangu umekudondokea, silali ninakuota, nikinywa maji nakuona kwenye glass na nikienda chooni nakuona kwenye tundu ya choo.
 
nakupenda zaidi ya madereva wa bodaboda wananvyopendana,usiku nalala japokuwa macho sifungi,nakupenda kama navyopenda kunywa banana
 
Back
Top Bottom