Nashukuru kwa kuingia JF

Mapendekezo

Member
Jun 11, 2021
28
75
Napenda kuwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi ni kama kuku mgeni bado nina kamba miguuni.

Naomba mapokezi yenu wana JF.
 

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,231
2,000
Karibu sana, hapa ndipo Home of great thinkers and where we dare to talk openly. Call a spade a spade not a big spoon and vice versa. (kijiko kiite kijiko siyo koleo dogo na kinyume chake)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom