Nashukuru kuzaliwa muislamu

Nashukuru kuzaliwa muislamu

Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Mental case
 
Ni ukweli usiopingika kuwa,maendeleo ya Afrika hayatakuja kamwe kama sisi wenyewe tutakuwa na mentality ya kama mleta mada.
Hajaongelea lolote, licha ya kushukuru kuwa muislamu, hivyo unamlaumu kwa lipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom