Nashukuru kuzaliwa muislamu

We jamaa tunakutafuta
 
Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Shukuru tena kwa kutuambia sisi Walimwengu tujue.

Weka namba UOKOTE.

Tunataka tukuletee zawadi ya TENDE na TIKETI ya SAUDIA ukaponde MAWE SHETANI.
 
Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Aamini thummah aamin
 
Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Uliukuta uislamu na si kuzaliwa muislamu. Ukristo, uislam, na dini zingine ni utapeli uliovuka mipaka.

Naomba unielewe.
 
Mimi najivunia uislamu kwa kunifundisha kutokuwa fisi, yaani saa yoyote naweza kuliamsha, hatukai kizembezembe muda wowote uko attention kukata mtu kelbu za uso
Huwa hatucheki na kima
 
Mkuu, Soma tena sentesi yako ya kwanza, hapo ndipo nilipoulizia swali mimi. Unashukuru kama vile wengine huwa hawazaliwi waIslam
Mimi najivunia uislamu kwa kunifundisha kutokuwa fisi, yaani saa yoyote naweza kuliamsha, hatukai kizembezembe muda wowote uko attention kukata mtu kelbu za uso
Huwa hatucheki na kima
Mkuu wewe ndo yule shekh uliahidi kuwafyeka shingo kwajambia waandamanaji?!
 
Unashukuru kuwa low IQ, akili ya wapi hii? Una illusion akilini mwake! umevurugwa akili, ni matrix
 
Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
muislam wa buza nywere kipilipili
 
Uislamu dini nzuri sana akifa mtu ni ulaji tu ...gharama ni kununua ndizi na kuweka kwenye mfuko wa kanzu kwenda kufaidi ubwabwa wa hitima..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…