Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Dini Niko sehemu gani ya mwili wako?Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Unashukuru nini sasa??! wakati nyie Waislam mnasema kila mtu hapa duniani huwa anazaliwa Muislam automatic kabisa ila huwa anabadirishwa dini akishazaliwa kutegemeana na wazaz au jamii alipozaliwa. Au hii hoja ni ya uongo wapo wengine hawazaliwi waislam kwamba kwako imekuwa bahati kuzaliwa muislam?Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Kwa nini?Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Namuomba Allah aiweke ndani ya moyo wanguDini Niko sehemu gani ya mwili wako?
Ningalizaliwa nje ya uislam halafu nikafa nikiwa nje ya uislam ningalikua katika hali mbayaKwa nini?
Umeelewa vibaya. Binaadam yoyote akizaliwa muislam. Jee kama wazee sio waislam wewe mtoto baada ya kubaleghe tu yaani miaka 12 utaingia uislam? Si mpaka upate hoja za kuonesha huko uliko siko? Jee kama hukubahatika kujua ukweli itakuaje?Unashukuru nini sasa??! wakati nyie Waislam mnasema kila mtu hapa duniani huwa anazaliwa Muislam automatic kabisa ila huwa anabadirishwa dini akishazaliwa kutegemeana na wazaz au jamii alipozaliwa. Au hii hoja ni ya uongo wapo wengine hawazaliwi waislam kwamba kwako imekuwa bahati kuzaliwa muislam?
Kwa nini?Ningalizaliwa nje ya uislam halafu nikafa nikiwa nje ya uislam ningalikua katika hali mbaya
Hata wewe umekuja kwa muingiliano wa watu 2. Kama wazee wako wasingekutana ungalikuja vipi duniani?Dini zote tuliletewa kwa meli, iwe ukristo wa mzungu au uislamu wa mwarabu, at the end of day swali lina baki kwako, tusingeletewa izi dini ungekuwa kundi gani!?
Ni kweli etDini zote tuliletewa kwa meli, iwe ukristo wa mzungu au uislamu wa mwarabu, at the end of day swali lina baki kwako, tusingeletewa izi dini ungekuwa kundi gani!?
Kwa sababu ukifa kama sio muislam basi wewe utaishi maisha magumu zaidi ya jelaKwa nini?
Kwa nini?Kwa sababu ukifa kama sio muislam basi wewe utaishi maisha magumu zaidi ya jela
around coner jesus cuming,be ready!JESUS IS COMING AGAIN
Be ready,Get Prepared!