Nashukuru jukwaa la MMU kwa kunipatia mchumba

Nashukuru jukwaa la MMU kwa kunipatia mchumba

nawashukuru wote mlionishauri najua kila m2 ameonyesha upeo wake wa akili ulipoishia aliyeonyesha busara mungu ambariki aliye2kana najua ni ufinyu wake wa mawazo cwezi kulaumu najua kwenye jamii kuna wendawazimu pia keep it up meen!
 
Mwezi mmoja tu na unamuita mchumba!!!
 
Bado ni mapema sana kumchukulia kama mchumba , ila hongera sana ni hatua moja umeshavuka.
 
mi naamin JF ni mkusanyiko wa watu tofauti, ukijumlisha watu wenye elimu na staha bora na walio singo,,waume kwa wanawake,,, kwahiyo 'Inawezekana'
 
We mbona sikuelewi umekasirika nini? Kwani huamini kama wawezapata mwenza kupitia mtandao? afu unakauli mbaya mno mana kwa kusoma yeye alichoandika na ulichojibu mbona naona wewe ndo haupo sawa upstairs. Grow up and get a life dude.

M mwenyew nimenshangaa heee nkajua mwishon atasema kwann maneno ya ajab...kaishia hewan...uyu ni punguan kote upstairs na downstairs
 
We mbona sikuelewi umekasirika nini? Kwani huamini kama wawezapata mwenza kupitia mtandao? afu unakauli mbaya mno mana kwa kusoma yeye alichoandika na ulichojibu mbona naona wewe ndo haupo sawa upstairs. Grow up and get a life dude.

Achana na huyo mbwiga hajui kuwa mahusiano yanaanzia popote. Mi nina mke mzuri na mtoto kutoka hapa Jf na life lipo poa kabisa. Tulikutana hapa na tukafunga ndoa vizuri kabisa. Shida wengi wanadhani watu wote humu ni kama wao, humu kuna watu wazuri na wanaojielewa
 
Ngoja na mimi nianze harakati kumbe jf unapata mke mwema especially MMU
 
Back
Top Bottom