Nashindwa mwelewa Shemeji yangu

Wee unamchelewesha...mgegede bwana mbona vijana mnatuangusha
 
Una vichwa viwili lakini kimoja hakina utosi na hakiwezi kushaurika....
 
Unataka kubadili upendo wa kweli kuwa ngono?[emoji15] Yaani mtu anaonyesha kukujali ila wewe umeshaanza kuwaza ngono!
 
Shemeji yako kivipi? Mke wa kakaako au mdogo wa mkeo? Fafanua ili nijue nikushauri vp
 
La! La! La! La!

Maneno ya msaga sumu yanakuja yanakataa hivi kuwa hahinaga ushemeji.


Kumbuka Mke wa mtu sumu boss.
 
Mbona unanitegaa shemejii - Msaga Sumu

Akili yako ndio tatizo shemaji hana shida yoyote hapo
 
Haujaeleweka shemeji yako kivipi?!

Mnakutana wapi hadi akuvalie hivyo?!

Wewe na yeye mna mazoea gani?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…