Platnum ndo wanaoongoza kwa vituko hapa jukwaani kuna platnumz anaitwa Ushimen utacheka ufePlatinum member sio..
Kwa ukiwa Platinum member ndio huna jokes? Emu punguzeni hizo kambaPlatnum ndo wanaoongoza kwa vituko hapa jukwaani kuna platnumz anaitwa Ushimen utacheka ufe
Wanadhani ukiwa Platinum ndio unalipwa ? au uwe na akasiriko muda wote kulaumu watu na serikali ?punguzeni makasiriko maisha mafupi ,ukiwa na hasira sana muda wote unaharibu hata figo zako na afya ya akili piaKwa ukiwa Platinum member ndio huna jokes? Emu punguzeni hizo kamba
Platinum member sio..
Ulisema mke wako amepata kazi lodge?Kwanini mkuu....🤔