steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
Ni kweli utaratibu wao ni wa hovyo kabisa kwanini kudai cheti cha kuzaliwa wakati mtu una NIDA? Au kudai barua ya kwenda nje? Passport ni document ya kusafiria ni vizuri mtu akawa nayo hata kabla ya kuwa na safari. Je wanaotaka kwenda kutalii nje watapata barua ya mwaliko wapi?Katika vigezo vya mtu anayehitaji kupata hati ya kusafiria. Kuna baadhi ya vigezo sivielewi.
Kuna kigezo kinasema natakiwa kuwa na Kitambulisho Cha Uraia lakini wanadai tena cheti cha kuzaliwa, hapo wamenichanyanya.
Pia wametuambia passport ni haki ya kila mwananchi lakini wameweka kigezo kama vile naomba visa.
Kuna kipengele kinasema uthibitisho wa safari na nini naenda kufanya, hapo ndipo wamenichanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuambiwa upeleke bank statement, maana unaweza sema unaenda kutalii ufaransa wakati akaunti yako inasoma bukuNi kweli utaratibu wao ni wa hovyo kabisa kwanini kudai cheti cha kuzaliwa wakati mtu una NIDA? Au kudai barua ya kwenda nje? Passport ni document ya kusafiria ni vizuri mtu akawa nayo hata kabla ya kuwa na safari. Je wanaotaka kwenda kutalii nje watapata barua ya mwaliko wapi?
Inachukua muda gani passport kutoka?Weka viambatanisho vyote wanavyohitaji:
1. Kitambulisho au namba ya kitambulisho cha uraia
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Cheti cha kiapo cha mmoja wa wazazi
4. Barua yai mwajiri
5. Uthibitisho wa safari kama ni kishule, metembezi, buiashara na kadhalika.
Jaribu kuanza na hivyi kwanza wapelekee na usubiri majibu.
Jaribu kuwa focused na usiyumbe, maana ukiyumba ndo utaona wanakuchanganya.
Gook luck!
Weka viambatanisho vyote wanavyohitaji:
1. Kitambulisho au namba ya kitambulisho cha uraia
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Cheti cha kiapo cha mmoja wa wazazi
4. Barua yai mwajiri
5. Uthibitisho wa safari kama ni kishule, metembezi, buiashara na kadhalika.
Jaribu kuanza na hivyi kwanza wapelekee na usubiri majibu.
Jaribu kuwa focused na usiyumbe, maana ukiyumba ndo utaona wanakuchanganya.
Gook luck!
Ukiwa umekigizi vigezo vyote nusu sana tuu wanakupa passport yako
Hiyo namba 4 kwa mtu ambaye hajaajiriwa anaambatanisha nini?!
Kwanini unatakiwa kutoa uthibitisho wa safari?Weka viambatanisho vyote wanavyohitaji:
1. Kitambulisho au namba ya kitambulisho cha uraia
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Cheti cha kiapo cha mmoja wa wazazi
4. Barua yai mwajiri
5. Uthibitisho wa safari kama ni kishule, metembezi, buiashara na kadhalika.
Jaribu kuanza na hivyi kwanza wapelekee na usubiri majibu.
Jaribu kuwa focused na usiyumbe, maana ukiyumba ndo utaona wanakuchanganya.
Gook luck!
Aagh wapi..!!! Labda kama baba au mama yako yupo kwenye nafasi yenye madaraka hayoUkiwa umekigizi vigezo vyote nusu sana tuu wanakupa passport yako
Kwanini unatakiwa kutoa uthibitisho wa safari?
Aagh wapi..!!! Labda kama baba au mama yako yupo kwenye nafasi yenye madaraka hayo
Nasikitika sana... kiasi naona maruerue!!
Namshukuru Mungu sana...
Kama hivi:- kuna 1, 2, 3...5 ukitimiza vigezo utapatiwa PP.
Bahati mbaya anajitokeza afisa ??? Unaambiwa lete hiki na kile na hiki !!!? Unashangaa niende nikavitoe wapi tena.... basi subiri hadi.. Mungu apende!!
Shule za kusomea ujinga.
Ukiritimba.Wamaanisha nini bibie?