Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

story yako kama yangu tofauti ni kidogo sana hata umri wangu ni kama ww 24 - 28 .

Hata mimi ninae msichana ananipenda sana yaan tuna miaka 4 kwnye mahusiano alafu haniombi hela kabisa mpka me nijiskie ndo nampa tena nakula mzigo muda wowote yaan ananielewa sana na sio muongo Hata kidogo ila me hayupo moyoni na sina sababu yoyote sielewi.

Ukipewa ushauri unishirikishe pia yaan najihisi na tatizo maana ni mzuri huyu binti ..
Poa mkuu
 
Mkuu Nina kisa kama chako age (25-28)

Ila Mimi uyu dada naishi nae + kanizalia Mtoto wa kiume (handsome sna ) Ila bad enough alitolewa birka na Dogo mmoja alinipa iyo story..

Still uyo dogo mpaka now anasoma Dah hii feeling inauma sna,, naishi nae basi tu

Ila Mimi ushauri wangu siku zote oa mwanamke bikra,, !
Upendo unakuja Tu wenyewe
 
Hivi mkuu unataka umuache mwanamke anayekupenda uende wapi?nadhani ww ni mgeni kwenye hii dunia ya mapenzi na ole wako umuache huyo mwanamke hakuna rangi utaacha ona,wewe endelea kuichezea hiyo bahati tu siku akiondoka maisha mwako ndipo utakapojua ulikuwa unamiliki almasi.
Ukweli huu
 
story yako kama yangu tofauti ni kidogo sana hata umri wangu ni kama ww 24 - 28 .

Hata mimi ninae msichana ananipenda sana yaan tuna miaka 4 kwnye mahusiano alafu haniombi hela kabisa mpka me nijiskie ndo nampa tena nakula mzigo muda wowote yaan ananielewa sana na sio muongo Hata kidogo ila me hayupo moyoni na sina sababu yoyote sielewi.

Ukipewa ushauri unishirikishe pia yaan najihisi na tatizo maana ni mzuri huyu binti ..
We mpoteze utarudi na thread ingine...ila mapenzi ndivyo yalivyo
 
Acha nae huyo mpuuzi
Halafu njoo PM unipe hela ya beer

Mwanamke ni mnafiki kwa asili sasa jukumu lako akikuletea unafiki usimsamehe maana atarudia tena mbeleni NI LAZIMA arudie mbeleni

Sawa Mr.B a.k.a option 2.

Ingawa unaweza kut.ombatomba kipindi unatafuta mwanamke wa kueleweka,sawa good boy wazee wa kula makombo
 
Mtu anakuwa na laini mficho, hiyo hukaa sehemu usiyoidhani..
Ukiondoka tu inawekwa, wanapenzika weee, anaitwa, anakuja, anapakua, anakula, ananawa, anamkiss,anashukuru, anam hug,anapanda pikipiki anaondoka. Laini inatolewa, inawekwa mafichoni. Unarudi umechoka.. Unapokelewa, wana Ku hug,unapekua simu, kila kitu kiko mahali pake.. Unamcheki alivo unafurahi kaumbika ila umechoka Leo, unauhakika nacho maana ni chako, huli usiku huu utakula werkend.. Naye anakushukuru kimoyo😂😂. Kesho anakuaga vizuri unaenda job.

Mwanamke anaakili Sana kushika simu yake siyo kigezo kabisa .

Anaye na anapigwa miti vzr sana

Cha msingi ww amua kumuacha au kumuoa basi

Lkn kitu cha simu au kutonyimwa ni Jambo jingine
 
Back
Top Bottom