atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,319
- 9,435
Mm pia ilishanitokea situation kama yako mkuu,miaka 4 nimevumilia kuja kupewa mzigo bikra hamna nilipiga chini huo mzigo,hivi wanafunzi wa Udom wana matatizo gan sababu na huyo wangu alikuwa anasoma hapo hapo Udom