Nashindwa kupenda tena sababu niliumizwa.

Nashindwa kupenda tena sababu niliumizwa.

Wewe piga tu mkuu --hiyo ndio njia bora ya kuji epusha na stress
Hili hata mm limenitokea kwa sasa nashindwa kabisa yaani nikipiga demu sina hamu nae tena natafuta mwingine daaa kazi ipo
 
Kama hivi?
IMG-20190619-WA0082.jpeg
 
We vipi. Mwanaume ninchuma au robot kuwa maumiv hawayasikii? Kwa taarifa yako tu binadam yoyote dunia hii lazima awe na feelings.. na maumiv ni moja ya hiyo kitu.
Tofauti ni kwamba mwanaume akiumia hasemi.. lakin haimaanishi wote.. wengine uvumilivu huwashinda
Yani Mwanaume mzima unasema Umeumizwa?? Hii aibu ya mwaka
 
Rebeca tell me more about that. How long does it take? I feel like am too damaged beyond repair
Nilishawahi kuleta topic ya 'damaged goods'..lol

Jipe time,time is the best healer,yes with time majeraha yako yatapona na utapenda tena,trust me kuna walioexperience vitu vizito na sasa wana ndoa..hata wewe utapona tu
 
Rebeca tell me more about that. How long does it take? I feel like am too damaged beyond repair

Pole sana mkuu,mimi huwaga nafikiri kila kitu..ni just a state of the mind,uki tune hivi ndivyo itakavyokua...kama umeumia na unataka ubaki umeumia then healing will take long time sana…...now kama unataka kupona...BELIEVE utapona kwanza,,,,,kama haiji automatically hio Imani,make conscious effort to FORGET it...and you WILL FORGET.....sijajua credibility ya huu mtandao..nimeona nishee na wewe..lol https://www.bustle.com/articles/596...r-a-breakup-science-says-three-months-so-keep
 
Kadri unavyozidi kumpenda mtu sana basi na ndivyo unavyozidi kuchelewa kumsahau.ukimpenda sana mtu alafu mkatengana ghafla baasi itachukua muda sana kukaa sawa na kumsahau kwa sababu alikaa hasa hasa moyoni.

Kinyume chake sasa..
Kama hukumpenda sana mtu basi kumsahau ni rahisi sana mkuu, kama mtu hukumpenda sana ghafla mkatengana basi inachukua muda mchache kumsahau.

Katika hali ya kwanza ile ya kumpenda mtu sana na kuchelewa kumsahau.hali hii ya kuchelewa kumsahau mtu ni ya kawaida sana kwa yule ambaye ghafla ametengana na ampendaye.

Usijaribu kupingana na hiyo hali mkuu, utakuwa umefanya maamuzi mabaya, huo ni upepo tu, hapo moyo wako unajirestoree upyaa.

Na kadri maumivu yako yanavyozidi pale unapomkumbuka basi ndivyo kuna asilimia fulani za kumbukumbu zinaondoka moyoni mwako juu yake. Acha uumie kwa ajili ya kuusafisha moyo wako asiwepo kabisa kwako.

Lakini jambo zuri ni kuwa, itakapotokea umekuja kumpata unayempenda zaidi ya huyo mliotengana, basi utakuja kumsahau mara moja,lakini kwa sasa ni nadra sana kumpata huyo ila ingetokea sasa hivi basi amini kwamba moyo ungeshamfuta yule na kumuweka huyu wa sasa hivi.

Relax mkuu, usijione kama haupo kawaida, hiyo ni kawaida katika maisha.

Muhimu usilazimishe kumpenda mtu kwa sasa, Acha itokee automatically umpende mtu pasi na kulazimisha na kutafuta tafuta yupi mzuri wa kumpenda.

Tulia, relax, fanya mambo yako, kila unapoumia jiambie kwamba haya maumivu ni kwa sababu moyo unafuta taswira yake ndani yangu....

Enjoy the life....
....Umempa Neno Jema, Mkuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom