Si kazi yako, punguza kiherehereYaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi.
Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu?
Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo ana utajiri atari".
Yaani kwa apiarensi huku buza wako kibao na kama ndio kilikua kigezo mshkaji asingetumia mapesa yote kusafiri miles akati wa hivyo wako kibaao apa apa.
Smh.
Jamaa anaingiziwa mwingine alafu anakata uno yeye....teh😜Si kazi yako, punguza kiherehere
Mkuu nyie ndo mnapigwa alafu mnasema kosa letu niniNdo kashakuwa wifi yako sasa
Sio kwamba amependa mwenzako tatizo ni hisa ya akili yake ipo chini alifanya hivyo ili aliyeachana naye aongee hayo manenoYaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi.
Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu?
Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo .....".
Yaani kwa apiarensi huku buza wako kibao na kama ndio kilikua kigezo mshkaji asingetumia mapesa yote kusafiri miles akati wa hivyo wako kibaao apa apa.
Smh.
So huyu wifi yako haujamkubali?Rule no 1. Make sure dem unaemuoa amewafunika ma x zako wote kwa uzuri.
mbona nalionaNasimama na wewe, wifi hana takko
View attachment 3310109