Nashindwa kumuelewa

Yaan huyu binti kanisikitisha sana kwenye hilo suala la hela, kweli ubatizo wa moto unamhusu huyu ili akili ikae sawa.
 
Dunia sijui ikoje jamani, ulitakiwa uwe wangu wewe binti, basi tu.
 
Mmh we nae nn unahangaika na kujipendekeza hvo akimute nawe mute jamaa anakata mawasiliano taratbu sema we umeshupaza shingo yan angekuwa mm nahis angeshakuwa the study of past events
 
Binafsi njia sahihi ya ww kufahamu sio kumpgia cm,bali ni kufunga safar haadi kwake then jarbu kuongea nae kwa undani ni nin tatzo lake.
Naamin atakueleza km ni sabbu za kimapenz atakwambia na km ni zake binafsi atakwambia
 
Mmh we nae nn unahangaika na kujipendekeza hvo akimute nawe mute jamaa anakata mawasiliano taratbu sema we umeshupaza shingo yan angekuwa mm nahis angeshakuwa the study of past events
Afu jamaa yako atakuwa anaishi na mwanamke mwingine ko anajiiba jaribu kufatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…