Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

Habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wangu na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Kama kashalamba Asali, huyo ni baharia anasonga mbele au ana mtu wake alikuficha
 
Karibu kwenye ulimwengu wa mapenzi.!
ONYO: Don’t hate the game hate the player ooh shit Don’t hate the player hate the game.!
 
Utoto unamsumbua hata ungekuwa wewe ningekuacha. Eti umevaaje, unakula nini, leo umevaa saa mkono gani, stupid wahed. Kama vile hana kazi ya kufanya namhurumia anadumaza ubongo wake kwa kuto utumia kufikiria mambo yenye tija.
Kila wakati masimu na ma sms, yanachosha bhana, msalimie asubuhi na jioni/usiku inatosha kwani huna shughuli ya kufanya mkuu, ningekuwa mie ningekuacha kabisa
 
Nani alikwambia kwakuwa ni is a your first love ndio huwezi kumuacha.
Husikubali kuwa na mwanaume anayeonesha hataki kuwa na wewe lakini ukimuuliza unanipenda anakujibu ndio.
Huyo ni confused man yaan anakuwa ana wanawake wengi ila hataki kukukwambia muachane naye sababu anataka kuwa na wote kwa kigezo cha kuwala tu hakuna kingine.
Jichunguze na hakikisha unatambua thamani yako.
 
The more you love the more you suffer jitahidi tu umuache hamma namna wazungu wanasema not every loss is a loss
 
Huyo tayari ana mtu wake,Ndo usha achwa hvo.

Au kama vipi na wew kaa kimya usimtafute tena ili uone reactions zake.

Ukiona kimya anza kutafuta kademu kengine bro.
 
we kazi za kufanya huna wewe

unapiga simu mara 9 kwa siku what do you expect(hata mimi sipendi)

tukutane home usiku kusimuliana yaliyojiri.

Kupigiana pigiana simu kunapoteza ladha usiku nakosa hata chakukusimulia vya mchana

we faya yako usiku nikirudi bed tunapga stori weeeeeee,tunacheka weeeee hadi tunaptiwa usingizi

wewe sasa unataka utamu wote uumalizie kwenye simu HAPANA wanaume hasa mimi ndio staki kabisa.
 
Mkuu au ndo huyu prisca toka mwezi uliopita kahamia kwangu mapenzi motomoto japo mm simpendi, amesimulia habari zako nyingi sana
 
Habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wangu na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Kwa wachepukaji hii tunaiita fursa
 
Nani alikwambia kwakuwa ni is a your first love ndio huwezi kumuacha.
Husikubali kuwa na mwanaume anayeonesha hataki kuwa na wewe lakini ukimuuliza unanipenda anakujibu ndio.
Huyo ni confused man yaan anakuwa ana wanawake wengi ila hataki kukukwambia muachane naye sababu anataka kuwa na wote kwa kigezo cha kuwala tu hakuna kingine.
Jichunguze na hakikisha unatambua thamani yako.
Umejibu kiukweli ila hawa mabinti wa siku hizi wagumu kujua Mpenzi ya kweli au yakuwa na pakupotezea pale mmojawapo anapokuwa Period.. Labda tumuulize huyu mhanga je wanaishi jirani? kwa nini anatumia simu sana kuwasiliana na asimtembelee pale anapoishi? Je alishamtambulisha kwa huyo Mwenza wake? Je alisha muonjesha tunda kama bado huwenda huyu mhanga ni mzinguaji yaani miezi miwili bado unafukuzia chini ya Miti miwili hiyo biashara nani atakubali kipindi hiki cha Magufuli?

Kingine labda utujuze kiumri una miaka mingapi? huwenda nalo hilo likawa tatizo ushauri na wewe tafuta mtu wa kukuweka busy wanasema figa moja halipiki likaivisha.

Pole ila nakushauri usipende kumfuatilia Mwanaume katika kipindi hiki ambacho maisha yameshika boxer...
 
Anza kupiga nyeto asubuhi mchana na jioni
 
Back
Top Bottom