Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

Habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wangu na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Pole najua inaumiza lakini kwasababu ushatwambia unampenda kukushauri itakuwa vigumu .
 
Ukiachwa...achika..hizo Ni dalili za kuachwa mydear..pole
 
Jiandae tu kwa maumivu...

Ukiona hali ni tete, dalili zote za mapenz kuwa yamekwisha, umejaribu kuongea nae piah umeshindwa

Basi achana nae mapema, kabla hajakuacha ww, na maumivu yake yakawa mara mbili...bora uache kuliko kuachwa
 
Achana na mapenzi huo mda kalime mboga mboga utuletee mjini sisi walaji
 
Habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wangu na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
njoo PM
 
Back
Top Bottom