Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

Nashindwa kumuelewa mpenzi wangu

EVER JORII

Member
Joined
Jul 19, 2019
Posts
8
Reaction score
10
Habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wangu na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
 
habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wang ninampenda san ila sahivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekua hanitafuti mara nying nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wang na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
"Kumuacha nashindwa" ni sentensi ya kipuuzi kama unashindwa kumuacha jiandae kwa maumivu ya mapenzi OVER.
 
habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wang ninampenda san ila sahivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekua hanitafuti mara nying nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wang na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Mawazo unayomuwazia zaidi ni yapi? Wewe ni sawa na muajiriwa mpya kazini ambaye huna uzoefu wa kazi ila baada ya muda utajua na kuzoea kazi.
 
Kila wakati masimu na ma sms, yanachosha bhana, msalimie asubuhi na jioni/usiku inatosha kwani huna shughuli ya kufanya mkuu, ningekuwa mie ningekuacha kabisa
 
habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wang ninampenda san ila sahivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekua hanitafuti mara nying nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wang na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Acha ujinga na wewe. Kwani huna mambo mengine ya msingi ya kufanya hadi unakaa unapoteza muda kumuwaza mtu ambaye hana mpango na wewe ?
 
Tu
habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wang ninampenda san ila sahivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekua hanitafuti mara nying nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wang na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
ma text inayoanza na SBHR107BN imethibitishwa.. afu ulete mrejesho hapa.
 
habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wang ninampenda san ila sahivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekua hanitafuti mara nying nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wang na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Katika mapenzi USISIKILIZE MANENO HATA SIKU MOJA BALI MATENDO YAKE halafu ndio ujiongeze. Ukishindwa kunielewa hapa basi tena.
 
habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wang ninampenda san ila sahivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekua hanitafuti mara nying nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wang na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Nyuzi za maumivu juu mapenzi zimeshika kasi...mnakosea wapi vijana,
 
habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wang ninampenda san ila sahivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekua hanitafuti mara nying nikimtafuta hapokei simu nikituma msg hajibu kwa wakati nikimuuliza ana shida gani anasema yupo busy, nikimuuliza ananipenda anasema anaipenda kinachoniuma zaidi ni first love wang na kumuacha nashindwa naombeni ushauri nifanyaje.
Hivi dalili zote hizo bado hujatambua????????
 
Back
Top Bottom