Nashindwa kumuacha kabisa

Nashindwa kumuacha kabisa

Habari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadlika yup busy hakutafut mpka nimtafte mm naweza kaa ata siku 3 kimya nae hukaa hvyo hvyo hata nikmtishi nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibun"poa " kwa kwel nashindwa kumuacha kila nikimuacha najikuta nimemrudia nikkausha najikuta nimemtafta tena.. Ushauri wenu ndugu ......plz
Subiri yakukute, utajua la kufanya...
 
Una umri gani kijana.?
Ukikua utaacha. Hata sisi kaka zako(malijendi) tushawahi pitia hali kama hizo, kuna time itafika mapenzi hayatokusumbua tena.
 
wewe mwanaume au jinsia nyingne?? mtu unaachwa bado unarudi mpaka ujeruhiwe au???? acha upumbavu tafuta pesaaaaa
 
Habari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadlika yup busy hakutafut mpka nimtafte mm naweza kaa ata siku 3 kimya nae hukaa hvyo hvyo hata nikmtishi nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibun"poa " kwa kwel nashindwa kumuacha kila nikimuacha najikuta nimemrudia nikkausha najikuta nimemtafta tena.. Ushauri wenu ndugu ......plz
Ashakuoan lofa tu, ujue ana mtu ambaye ndiye anamuoa keki. Atakuwa na wewe kwasababu labda unampa viela vyako napo hajali sana. Things will never be the same again mkuu piga moyo konde achana naye utaishi kwa stress. Wewe kwake kwa sasa ni second choice.
 
Shukran mkuu
 
Hivi unampendaje mtu kias hicho😆😆😆 Ukitaka uwa win wanawake kuwa na ego kias flan!! Sio unakuwa na dem unajifanya unapenda sanaaa,,kwanza muoneshe kwamba una options na sio yeye tu!! Mimi dem kama nampenda kulingana na anavyo nipenda yeye,, kama ananipenda kwa 50% me ntampenda kwa 60%!! Mambo ya kushoboka kama fala me sinaga hzo ushamba!!!
 
Hutoshi Wewe Mwenyewe Yaani Unamuacha Halafu Unamrudia, Haa 😅😄😃😁😂🤣😀😁😂🤣

Hoja Mlendamlenda, Atakusumbua Sana!!
 
Hutoshi Wewe Mwenyewe Yaani Unamuacha Halafu Unamrudia, Haa 😅😄😃😁😂🤣😀😁😂🤣

Hoja Mlendamlenda, Atakusumbua Sana!!
Yan hakuna kosa kubwa kama hili!!! Yan mkiachana na demu af ww ukaleta kiherehere cha kumtafuta wa kwanza ili mrudiane atakupelekesha huyo mpaka ukome!!
 
Habari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadilika yup busy hakutafuta mpaka nimtafte mimi naweza kaa hata siku 3 kimya nae hukaa hivyo hivyo hata nikimtisha nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibuni"poa " kwa kwel nashindwa kumuacha kila nikimuacha najikuta nimemrudia nikkausha najikuta nimemtafta tena.. Ushauri wenu ndugu ......plz
Vuta ugoro
 
yup busy hakutafuta mpaka nimtafte mimi naweza kaa hata siku 3 kimya nae hukaa hivyo hivyo hata nikimtisha nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibuni"poa "
Kwanza wewe ni mpumbavu!

Na nimekuita mpumbavu sio kwamba nimeteleza la hasha ila ndio uhalisia maana hata kuandika hujui! which proves wewe ni mpumbavu/mjinga!

Kwa sababu wewe mpumbavu/mjinga ushauri mrahisi nnao weza kukupa ni kwamba hapo huna chako. Na kama unajipenda ONDOKA HARAKA UWEZAVYO.

Ila nasikitika kwa upumbavu/ujinga wako wenda usifanyie kazi ushauri wangu.
 
Habari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadilika yup busy hakutafuta mpaka nimtafte mimi naweza kaa hata siku 3 kimya nae hukaa hivyo hivyo hata nikimtisha nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibu"poa " kwa kwel nashindwa kumuacha kila nikimuacha najikuta nimemrudia nikkausha najikuta nimemtafta tena.. Ushauri wenu ndugu ......plz

Nilishawahi kupitia wakati mgumu kama huo unaopitia lakini let me tell you something broo

Ukiona dalili mpenzi wako ameanza kujitenga na wewe hapo kuna mambo Makuu matatu

1.la kwanza inawezekana huyo mwanamke ameona katika mahusiano yenu hakuna future anayoiona hivyo anatafuta nafasi ya kutokea aendelee na maisha yake

2.la pili anaona unampotezea muda wake vitu alivyotarajia toka kwako havioni na haoni mabadiliko yeyote

3.la tatu kuna dalili mpenzi wako ameanza kukusaliti taratibu kuna mtu ameanza kumpa vitu ambavyo wewe hawezi kukupa

4.la nne anapima upepo akuone moyoni mwako kama unampenda kweli

Ushauli wangu : tafuta muda uzungumze nae face to face umsikilizie lakini pia anza kujitathimini wapi ulipojikwaaa mwisho wa siku uamuzi ni wako

Kubaki au kuendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom