Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,577
Bora angesema anatabia nzuri.I loooove the answer 😍😍
Bora angesema anatabia nzuri.I loooove the answer 😍😍
Moyo unaweza kupenda yoyote,hata mwenye tabia mbayaBora angesema anatabia nzuri.
Yeye sasa hakupendi, una hela??Mkuu nimempenda tu wala sijampndea tako wala mauno moyo tuu umempendaa
Kipenda rohoooo,akipenda anapendaaa,Moyo unaweza kupenda yoyote,hata mwenye tabia mbaya
Si kila tabia unayojua wewe ni mbaya na mwengine atasema ni mbaya, kuna kutofautiana mtizamo.Moyo unaweza kupenda yoyote,hata mwenye tabia mbaya
Nashukuruu sana broo nimekuelewaaa sanaaa.Nilishawahi kupitia wakati mgumu kama huo unaopitia lakini let me tell you something broo
Ukiona dalili mpenzi wako ameanza kujitenga na wewe hapo kuna mambo Makuu matatu
1.la kwanza inawezekana huyo mwanamke ameona katika mahusiano yenu hakuna future anayoiona hivyo anatafuta nafasi ya kutokea aendelee na maisha yake
2.la pili anaona unampotezea muda wake vitu alivyotarajia toka kwako havioni na haoni mabadiliko yeyote
3.la tatu kuna dalili mpenzi wako ameanza kukusaliti taratibu kuna mtu ameanza kumpa vitu ambavyo wewe hawezi kukupa
4.la nne anapima upepo akuone moyoni mwako kama unampenda kweli
Ushauli wangu : tafuta muda uzungumze nae face to face umsikilizie lakini pia anza kujitathimini wapi ulipojikwaaa mwisho wa siku uamuzi ni wako
Kubaki au kuendelea
Tulia kijanaMiaka 22 kaka
Nafikiri kwenye kumpenda mtu kwa ajili ya ngono ndio kunaweza kutetea hiyo point yako ya sio kila tabia nayoona mimi mbaya na mwingine aone mbaya.....watu wa hivi hawajali sana kuhusu tabia ya partner wake,yeye ili mradi anapata anachokitakaSi kila tabia unayojua wewe ni mbaya na mwengine atasema ni mbaya, kuna kutofautiana mtizamo.
Ukimpenda mtu lazima kunakua na sababu. Najua unaelewa.
Note: kuna kumpenda mtu awe mpenzi tu wakufanya nae ngono, na kuna kumpenda mtu ukataka awe wa ndoa (familia).
Hahahh kweli kabisa hiiKipenda rohoooo,akipenda anapendaaa,
Kipenda rohoo,hula nyamba mbichi,
Kipenda rohoooo,haoni wala hasikiii,
Kipenda rohoooooooooooooo.....×3🎤
By. Remi
Huyo jamaa ni mumeo ama demu wako?Habari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadilika yup busy hakutafuta mpaka nimtafte mimi naweza kaa hata siku 3 kimya nae hukaa hivyo hivyo hata nikimtisha nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibu"poa " kwa kwel nashindwa kumuacha kila nikimuacha najikuta nimemrudia nikkausha najikuta nimemtafta tena.. Ushauri wenu ndugu ......plz
Kishapata mwingine, anataka tu uondoke mwenyewe. Mkuu hujuwi kusoma alama za nyakati kweli?Ni demu wang
tafuta mwingine mpotezee taratibuHabari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadilika yup busy hakutafuta mpaka nimtafte mimi naweza kaa hata siku 3 kimya nae hukaa hivyo hivyo hata nikimtisha nikimwambia tuachane yeye anachukulia kawaida tuu anajibu"poa " kwa kwel nashindwa kumuacha kila nikimuacha najikuta nimemrudia nikkausha najikuta nimemtafta tena.. Ushauri wenu ndugu ......plz