masengobangu
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 125
- 131
Kwani kabla ya hapo hukuwa na mahusiano ya kingono na msichana au mwanamke yoyote?Habari wana bodi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina.
Kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za maisha .ajabu mara ya kwanza tu tunaanza kufahamiana kimwili gegedo langu lilishindwa kufanya kazi ile naingiza tu pump tatu ikalala .Jaribu njia zote wapi nikaenda kununua redbul wapi ikabidi nishindwe tukaondoka.nikaenda kuomba ushauri kwa marafiki zangu wakasema itakua ni STRESS.Basi nikajaribu kujicontrol tukaenda tena wapiiiii nikapanic .ila yote yanayonitokea yeye ananipa moyo tu.Nikaenda kuomba tena ushauri nikaambiwa fanya mazoezi,kunywa maji mengi,kula tangawizi,mbegu za maboga,parachichi,asali n.k,nikafata hayo maelekezo lakini holaaaa.Nikarudi tena kwa marafiki kuomba ushauri wakaniambia jaribu kutafuta mdada mwingine tofauti na huyo, nikafanya ivyo mambo huko yakawa fresh tu.
Sikukata tamaa nikaendelea na mazoezi lakini mafanikio hamna nikapata ushauri mwingine wa kutumia VUMBI LA KONGO ,nikafata ushauri mambo yakawa supa nikawa napiga bao nne na zaidi ....siku zikaenda mara ile hali ikajirudia tena hata nikitumia MKONGO dyudyu linasimama nikigusa K tu inanywea.Nikaanza kuchanganyikiwa na nisijue la kufanya .UKWELI nampenda sana na yeye ananipenda.Naombeni ushauri waungwana.
Hiyo huwa inatokea kwa baadhi ya watu, sijui tatizo linakua liko wapinilikua nae na mambo yalikua fresh tu
kivipi mkuuuJiamini mkuu!!
samahani nikuulize kitu hali hiyo ilivyotokea ulitest kwa mbabe mwingine?ikawaje?naomba majibuHapa sasa ni mshana jr ndo atakayesema, sidhani kama joseverest ungesema tofauti kama angekuwepo hapa
Hali gani mkuu? Mimi dudu langu lipo imara vibaya sana.samahani nikuulize kitu hali hiyo ilivyotokea ulitest kwa mbabe mwingine?ikawaje?naomba majibu
Ilipotokea hiyo ulitest kwa demu mwingine majibu yakawaje?naomba majibu afu tuendeleeHabari wana bodi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina.
Kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za maisha .ajabu mara ya kwanza tu tunaanza kufahamiana kimwili gegedo langu lilishindwa kufanya kazi ile naingiza tu pump tatu ikalala .Jaribu njia zote wapi nikaenda kununua redbul wapi ikabidi nishindwe tukaondoka.nikaenda kuomba ushauri kwa marafiki zangu wakasema itakua ni STRESS.Basi nikajaribu kujicontrol tukaenda tena wapiiiii nikapanic .ila yote yanayonitokea yeye ananipa moyo tu.Nikaenda kuomba tena ushauri nikaambiwa fanya mazoezi,kunywa maji mengi,kula tangawizi,mbegu za maboga,parachichi,asali n.k,nikafata hayo maelekezo lakini holaaaa.Nikarudi tena kwa marafiki kuomba ushauri wakaniambia jaribu kutafuta mdada mwingine tofauti na huyo, nikafanya ivyo mambo huko yakawa fresh tu.
Sikukata tamaa nikaendelea na mazoezi lakini mafanikio hamna nikapata ushauri mwingine wa kutumia VUMBI LA KONGO ,nikafata ushauri mambo yakawa supa nikawa napiga bao nne na zaidi ....siku zikaenda mara ile hali ikajirudia tena hata nikitumia MKONGO dyudyu linasimama nikigusa K tu inanywea.Nikaanza kuchanganyikiwa na nisijue la kufanya .UKWELI nampenda sana na yeye ananipenda.Naombeni ushauri waungwana.
tena aende bombay kabisaPole sana mkuu nenda hospital kwanza
nilikosea nilikuwa namuuliza mleta uziHali gani mkuu? Mimi dudu langu lipo imara vibaya sana.