Narumu One
JF-Expert Member
- Oct 31, 2022
- 396
- 401
Wahi kituo cha afya kilicho karibu nawe kunywa maji mengi yawezekana ni UTI.Dah asanteh mkuu nina miaka 26
Wahi kituo cha afya kilicho karibu nawe kunywa maji mengi yawezekana ni UTI.Dah asanteh mkuu nina miaka 26
Hospital ni mapokeo lakini zamani tulikuwa na miti yetu asliaNaomba kuuliza, kwanini watu hampendi kwenda hospitali mkimwa?
Wanawake wabovu ndio wepi hao?Unalala na wanawake wabovu.
Kama hapo kwenye kichwa kwa ndani panawasha wakati wa kukoja na mkojo una joto kali na ukiuangalia una viuchafu kama kamasi na umepima hauna magonjwa ambukizi ya zinaa basi ondoa shaka mkuu we bugia maji kama huna akili nzuri kadri uwezavyo ila yasipungue lita tatu kwa siku zikiwa nne ni vizuri tano vizuri zaidi baada ya siku tatu au nne njoo hapa mshukuru Mungu.
duh kam uliniona mkuu yan izo ndy zilikuwa dalil zang ila asanteh mung nimepona kwa kunywa maji mengKama hapo kwenye kichwa kwa ndani panawasha wakati wa kukoja na mkojo una joto kali na ukiuangalia una viuchafu kama kamasi na umepima hauna magonjwa ambukizi ya zinaa basi ondoa shaka mkuu we bugia maji kama huna akili nzuri kadri uwezavyo ila yasipungue lita tatu kwa siku zikiwa nne ni vizuri tano vizuri zaidi baada ya siku tatu au nne njoo hapa mshukuru Mungu.
Mkuu usimshukuru mwanadamu bali mshukuru Mungu.duh kam uliniona mkuu yan izo ndy zilikuwa dalil zang ila asanteh mung nimepona kwa kunywa maji meng
Mkuu ipo siku utawajua.Wanawake wabovu ndio wepi hao?
Naomba kuuliza, kwanini watu hampendi kwenda hospitali mkimwa?