Nashindwa kukojoa vizuri, nitumie dawa gani?

Tatizo limeanza juzi, yaani natoa haja ndogo malra kwa mara kwa shida sana pia tumbo linaniuma nitumie dawa gani?
Menya ukwaju, chemsha maji na uloweke, ongeza tangawizi na hiliki, changanya na baada ya hapo chuja. Kunywa kutwa mara mbili glass moja asubuhi na jioni, ndani ya wiki mbili utapona kabisa. Usisahau kuleta mrejesho
 
Jamani wengi tunapenda kwenda kuchekiwa hosp lakini gharama zake na kipato chetu watz ndiyo mtiani, ni vyema kuanza na hizi huduma za mwanzo zenye gharama nafuu sana. Kama itakuwa umegonga nunua vidonge vinaitwa AZUMA dozi ni vidonge vitatu mara siku tatu aizidi tshs: 5000/= Na endapo kama itakuwa ni UTI sugu nitafute nikupe maelekezo ya kutumia dawa ambayo inapatikana madukani si zaidi ya tshs:2000/= utatumia kwa muda wa wiki.
 
Hivi utamsababishia mwenzio kuliko angeenda hospitali, huko gharama yake haina utofauti na hiyo unavyosema wewe na atapata huduma sahihi kuliko kwenye maduka
 
Gono pro max
Kuna mdau alisema wanawake wengi siku hizi wana matatizo ya kiafya kwasababu wanavaa suruali zinazo bana.
Tumbo kuuma na kukojoa kwa shida ni dalili kubwa sana ya gono, recently gono imekua common hii inaonyesha ngono zembe zimeshamiri
 
Jamani wengi tunapenda kwenda kuchekiwa hosp lakini gharama zake na kipato chetu watz ndiyo mtiani, ni vyema kuanza na hizi huduma za mwanzo zenye gharama nafuu sana. Kama itakuwa umegonga nunua vidonge vinaitwa AZUMA dozi ni vidonge vitatu mara siku tatu aizidi tshs: 5000/= Na endapo kama itakuwa ni UTI sugu nitafute nikupe maelekezo ya kutumia dawa ambayo inapatikana madukani si zaidi ya tshs:2000/= utatumia kwa muda wa wiki.
shuklan mkuu naomba nielekeze iyo daw ya buku mbili
 
Menya ukwaju, chemsha maji na uloweke, ongeza tangawizi na hiliki, changanya na baada ya hapo chuja. Kunywa kutwa mara mbili glass moja asubuhi na jioni, ndani ya wiki mbili utapona kabisa. Usisahau kuleta mrejesho
nashukul mkuu ngoja nitafute
 
Back
Top Bottom