Nashindwa kuiacha CCM

Nashindwa kuiacha CCM

CCM ni sawa na Pombe Haramu ya Gongo japo inaua lakini watu bado wanaendelea kuipenda.

ccm ni sawa na Ngozi ya Nguruwe haifai hata kuwambia Ngoma au kutengeneza jamvi la kukalia.
 
tulia dawa iingie vizuri wewe....acha kuweweseka. Ccm ni taasisi sio ngo kama hiyo ya mtei

asante kijana kwa kuwaelimisha watu.

Kwani ni kweli c.c.yem ni taasisi ya mafisadi,majangili,wauwaji,na matapeli wa kutupwa!
 
Wewe si ni balozi wa nyumba kumi?. wenzio wanapewa ubalozi nchi za nje, we unapewa ubalozi wa nyumba
 
Kuna mtu humu anatokwa na povu. Haya nawewe tumeshakujua ni ccm so what?
 
Kuanzia 2015 ofisi ya c.c.yem
lumumba na dodoma zitakuwa majengo ya kibiashara kwa kufugia kuku wa mayai.


'chadema hatuta cheka na mafisadi hata siku moja!
 
Sina uhakika kama ni milele ila nina uhakika miaka 100 ijayo bado CCM itakuwepo madarakani.

cha ajabu mnatekenyana na kujichekesha wenyewe kama mashangingi flani hivi! ccm kweli chama chakavu na inahitaji akili ya maiti kuishabikia! poleni sana misukule ya lumumba,wote tunajua mnaganga njaa tu huko ccyem lakini rohoni mnaitamani sana CDM kimbilio la wanyonge
2015 ukombozi wa 2 utapatikana na nyie mtakombolewa,maana imeandikwa kuwa Mwenyezi Mungu huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki,wote sema AMEN!!!
 
kumbe nape ana afadhari

huja wahi kuona kichaa haswa muokota makopo, na kichaa mwenye uafadhali anayevaa vizuri lakini akikurupuka na jambo duh! Utachoka?


"mwig.ulu ni kijana aliyejitoa ufahamu ili kutafuta vyeo ndani ya c.c.yeem kwa kufanya kila ovu ambalo akili ayake finyu ina mtuma.


Ukitaka kujua mwig.ulu ni chizi fuatilia hoja zake kwa makini utajua tu kuwa milembe kwake ni kama kijiwe cha stori.



Wakati na.pe yeye ni mlopokaji nampayukaji tu,ila hana mapenzi na lichama la mafisadi c.c.yeem!
 
Baki humu sisi m ndugu huko nje wanararuana
Walijaribu kutaka kuturarua sisi m lkn wakakuta tupo imara tuna maadili ya kichama, tuna vikao vyetu rasmi vya kukosoana
Walipoona hatusambaratiki wameamua kujirarua wenyewe
Baki ndg baki sisi m
 
Viongozi wanaojitambua kwa kumaliza tembo wetu na kuuza madawa ya kulevya....😛ray:😛ray:
 
Ukiona kijana anaishabikia ccm akiwa mtu mzima lazima awe mchawi--JF
 
Watu wengine wana macho lakini hawaoni! Wana masikio lakini hawasikii! Ni kujwasamehe tu kwa kuwa si kosa lao!
 
Back
Top Bottom