Punguza wasiwasi tu..hamna kitu hapo...kama damu inaingia kwenye mishipa..uume unasimama then it means kuna kitu kinasababisha kusinyaa...damu kutoka kwenye mishipa...
Uoga, hisia kukata, hormones...
Tulia tu
Uzoefu nilionao ni hali ya kuchelewa kupiga bao hali inayosababisha mwenzi wako kuchoka na kushindwa kuendelea na tendo wakati wewe bado unataka . Hii ya kwako ni mpya
kegel itakusaidia sana mkuu pamoja na lishe wala usitumie madawa ya nguvu za kiume dowload playstore zipo app nyingi za pelvic floor exercise. Kama vipi njoo pm
Watu bana wanalazimisha kutaka kujua kama mleta mada aliwahi kujichua au la ili waconclude wanavyotaka wao huku wakishindwa kujua kuwa hili jambo laweza kumtokea yoyote yule.