Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo
Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa...halafu dushe linaweaaa hapo ndio basi mpka kesho tena
Mwenzenu nina mwezi siijui raha ya kukojoa
Wataalamu naombeni ushauri