Mkaminuza Mujwahuki
New Member
- Apr 24, 2024
- 1
- 0
Juzi kama one week nlikua mahali nasubili chakula changu kikitengenezwa, alikuja jamaa anakunywa energy iliyokuwa imechanganywa na kilevi, alinisalimia babu vipi na kunipa tano.
Baadae alianza kunisimulia kisa akiwa na masikitiko makubwa na kuniaahidi hatocheza tena kamwe dubu baada ya kuliwa 80000 aliyokuwa amechimba shimo.
Guyz, kamali zinatesa vijana wa taifa hili, watu wanapoteza mali, nguvu na muda
nazungumzia expirience niliyopitia, over 8 year kwenye dimbwi la kubet, full matumaini without result.
Easy way kuacha kamali, take responsibility hii, nunua daftari mpya andika pesa unayocheza na unayopata, hakikisha hudanganyi kwenye chart, i swear ukifollow- up for 3- 6 month lazima utaacha kubet.
Binafsi nlitumie excell sheet nikaona ujinga nlokuwa nafanya
Wahenga wanasema mali bila daftari huisha bila habari, am now out for 6 months tommorrow. any one can.
Regard
Mkaminuza Mjwahuki