Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,073
Addiction mbaya sana hii.
Kama hujui hii kitu usiijue kabisa, kwasababu once ukijua utaona kama wanaoenda kazini ni wajinga Sana,why waende kazini wakati Kuna njia rahisi hivi ya kupata hela.
Ukishafilisika ndio utajiona wewe ndio fala