Nashindwa kuelewa tatizo hili

ENT

Member
Apr 19, 2014
34
2
Mambo

Jamani wanaJF nisaidieni mimi uume wangu umekuwa na vipele vigumu vyeusi havitoi maji wala chochote vinakwazuruza tu nimenda kupima hadi ngoma hakuna kitu sasa nashidwa kijielewa nisaidieni wapendwa.
 
Hilo ni tatizo linalosababishwa na virus aina ya HPV human pappiloma virus....muone dactor akupe njia ya kuviondoa....je unasikia miwasho yoyote sehemu za siri mpaka mapajani?
 
Back
Top Bottom