Nashindwa kuelewa tabia ya binti huyu

Nashindwa kuelewa tabia ya binti huyu

Habarini Wadau,

Ukweli ni kuwa: yule jamaa alikuja December last year na alimfanyia jambo baya kweli kwani alimbikiri na kuspend naye x-mas time ila aliondoka bila kumuaga na baada ya siku 2 akimuemail kuwa ana mchumba anayempenda kule na wataoana karibuni,haya yote niliambiwa na dada yake kabisa,na wakati huo binti alitaka sana tuonane.

Kiukweli alilia sana na pia alipungua sana mwili na mimi nilimhurumia,baada ya miezi kadhaa alikuja kupata mwanaume mwingine mbongo mwenzangu na kunitumia message kuwa atanialika kwny harusi yake nikamwambia poa poa.

Sijaelewa mkuu, yaani mwaka jana kakimbiwa then miezi michache baadaye ana ubavu wa kusema atakualika kwenye harusi?!!...Duh!
 
Mkuu ni ukweli nilichopost kwanza sikujua kama bado ana no.yangu alimpata jamaa alikuwa anasoma law in the same Univ. namimi na namuheshimu sana ila up to now sijasikia hiyo harusi.
 
Umesoma vizuri mada? Au umekurupushwa?

Sasa unataka nikudanganye wakat huo ndo ukwel hata kama unauma,yaan huyo dem simaanish wote kwa sababu kila mtu na mtazamo wake,yy kaona huwez match nae kimtazamo ndo maana anapita na wengine na anawasifia mbele yako....
 
Mkuu pierre tall ungekuwa unamfahamu huyu dem hata usingecomment hivyo coz kwa mujibu wa rafiki yake mmoja ni kuwa now wametengana tyr na huyo mshkaji aliyekuwa amuoe

Huyu demu yeye huwa anajiona tofauti sana na madem wengine na kuwaponda na anachagua sana wanaume kwa kutaka wenye pesa sana na anaoweza kuwaendesha atakavyo.
 
Last edited by a moderator:

Sasa mkuu hayo hujayasema,ungeyaweka awali tungepata picha nzima kuwa unamzungumzia dem mwenye akili zakuvukia barabara...wewe hapo sasa zuia hali anayoifanya mdindie,muambie asikufanye simple kama anavyofikir na ikiwezekana unakuwa unamuambia dem wako ana wivu mbaya kabisa
 
Nilichoamua ni kutojibu msgs zake wala kupokea call yake kabisa nikijua itasaidia na ntafanyia kazi ushauri wako pia,thanks mkuu.
 
Huo ni urafiki tu wa kawaida. Tatizo letu wabongo hatujazoea urafiki wa jinsia tofauti.

Ukikuta msichana anakuwa karibu sana na wewe eti tayari unaanza kufikiria ANAKUPENDA! Vile vile kwa msichana akishaona mvulana fulan anajisogeza karibu na yeye tayari anaweka fikra kichwani mwake eti ANAMTAKA!

Wake up you guys, Urafiki wa jinsia tofauti bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi INAWEZEKANA!

mwanzoni mwa mada jamaa amesema alimtongoza na demu akakubali...urafiki wa kawaida hauanzi kwa kutongozana!!!
 
Yeye mwenyewe anakiri wazi kwamba inaonesha dem hakumkubali kwa 100% bali alikuwa kwnye investigation ya kujua kama mchizi ana pesa au la.

The way nilivousoma mchongo ni kwamba mchizi hata gemu hakupiga. Jamaa wa Uingereza ndo aliyezindua gem!

Hapa ni dhahiri demu hapendi kugongwa na mchiz kwani hta alipotemwa na mchizi wake wa Uingereza alienda kugawa gem kwa mchiz mwingine. Lait angekuwa anamfeel mchiz (mtoa uzi) basi angeji-attach baada ya kutemwa na yule wa uingereza but imekuwa ndivyo sivyo.

Thats y namshauri mchiz amchukulie tu dem km rafiki yake wa kawaida coz ni dhahiri dem anamheshim mchiz na kumchukulia km kaka yake wa kumsaidia kimawazo na kiuchumi. Angekuwa anatamani kugongwa angempa tu puchu but inaonesha anamuheshim so ni bora wote wkaheshimiana tu km kaka na dada
 
kiongozi hiyo reasoning nimeikubali
 
Back
Top Bottom