Huo ni urafiki tu wa kawaida. Tatizo letu wabongo hatujazoea urafiki wa jinsia tofauti.
Ukikuta msichana anakuwa karibu sana na wewe eti tayari unaanza kufikiria ANAKUPENDA! Vile vile kwa msichana akishaona mvulana fulan anajisogeza karibu na yeye tayari anaweka fikra kichwani mwake eti ANAMTAKA!
Wake up you guys, Urafiki wa jinsia tofauti bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi INAWEZEKANA!
urafiki wa mvulana na
msichana mwisho huishia kwenye
mapenzi,HENCE THERE IS NO
FRIENDSHIP BETWEEN A GIRL AND A
BOY,ALL WILL END UP TO LOVE. ni wangapi ambao wameingia katika
mahusiano baada ya kuzoeana sana
kama marafiki?Ni wengi mno.
MVULANA NA MSICHANA NI KAMA
SUMAKU MBILI UKIZIWEKA PAMOJA
LAZIMA ZIVUTANE(N and S attracts each other.).
OGOPA SANA KAMA WEWE NI
MVULANA demu wako ukiongea nae
kila mda anakwambia huyu ni rafiki
yangu tena wa kiume hasa kama
upo mbali,HAO HATA WAKI-DO hautaelewa kwa kisingizio cha
urafiki wao,
WEWE MSICHANA unampigia
boyfrend wako kila siku huyu
anakwambia huyu msichana ni rafiki
yangu. OGOPENI SANA MWISHO WATA- DO na
PENGINE WANAKUWA WAPENZI WA
KUDUMU NA WEWE UNAWEKWA
PEMBENI.
wangapi walianza kama marafiki?
Nyosha mkono