Gazaniga
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,051
- 361
Habarini Wadau,
Huyu binti nilimpenda kweli kwa miaka kadhaa iliyopita,akinikubalia ila naamini haikuwa kwa 100% ila alikuwa ananichunguza kama nina hela ya kutosha na wakati huo huo alikuwa na Boyfriend wake ambaye alipata ufadhili wa kufanya Bachelor degree yake Uingereza.
Kwakweli huyu binti alikuwa anajivunia sana vitu viwili
1)kuwa na huyo BF na mara kwa mara alikuwa akimsifia kwa wenzie nami akiniambia mara nyingi kuwa ana requests za kwenda kujibu through email,bila kuniambia ni za kumjibu nani na kiukweli aliniona labda am not updated with the world,am poor na niko local sanaaa,nilikuwa nikimjibu sawa.
2) Alikuwa akijisifia kuwa yeye ni bikira na hataki kuchezewa.
Ukweli ni kuwa: yule jamaa alikuja December last year na alimfanyia jambo baya kweli kwani alimbikiri na kuspend naye x-mas time ila aliondoka bila kumuaga na baada ya siku 2 akimuemail kuwa ana mchumba anayempenda kule na wataoana karibuni,haya yote niliambiwa na dada yake kabisa,na wakati huo binti alitaka sana tuonane.
Kiukweli alilia sana na pia alipungua sana mwili na mimi nilimhurumia,baada ya miezi kadhaa alikuja kupata mwanaume mwingine mbongo mwenzangu na kunitumia message kuwa atanialika kwny harusi yake nikamwambia poa poa.
KINACHONISHANGAZA: Huyu binti anapenda sana kunifuatilia na hata kupitia marafiki zangu wawili na pia ananishirikisha sana kwenye mambo yake na mfano akitaka kununua chochote huwa ananiuliza mimi kwanza na zaidi huwa anataka tukanunue naye,pia aliwahi kunikopa hela akanirudishia baada ya kumkumbusha mara kadhaa kinyume na mkataba wetu.
Nashindwa kujua kuwa je mchumba wake anajua na karidhika na tabia hii?
Na pia alinialika kwake (kwani anaishi alone)mara tatu nikagoma na mara ya nne nikaenda,na ktk stori zetu huwa atamtaja mpenzi wake kwa kumsifia vizuri tuu.
Mimi si tajiri/mwenye hela nyingi kivile ila nashangaa tabia yake na nashindwa kuelewa lengo lake hasa kwangu ni lipi huku ana malengo na mtu wake.