Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
Hakika mwenza, tunajitunza kama hatapatikana wa kutuoa tunakufa hivihiviMwenza tunajua kujitunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mwenza, tunajitunza kama hatapatikana wa kutuoa tunakufa hivihiviMwenza tunajua kujitunza.
Bora wewe useme kiongozi, mimi nimempuuza hata sikumjibu.
Tunakufa na utamu wetu maana hamna namna.Hakika mwenza, tunajitunza kama hatapatikana wa kutuoa tunakufa hivihivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakunywa sana Sparletta bar...Uchi kutoa ni lazima sikuhizi. Ukibana uchi tunabana wallet. Af maisha yanakuwa magumu yani lose...lose situation.🤣🤣🤣Uchi hutaki kutoa halafu unakuta unakomaa unataka uhudumiwe hahahahahahaaaaaaaaaaa
Mimi pia nilijiwekea huo msimamo ila dah sikumbuki hata uliishia wapi.
Anyways subiri tu utapata mtu sahihi au utafika 30 hujaolewa na yule shoct yako kicheche ana mume.
Maisha hayana formula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aachie tule tunda kimasihara 🤣🤣🤣Mara wanakuja na mada wanawake tunajiachia hatutunzi bikra,bikra kapatikana wanakuja oooh hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia inashangaza.
Acha umbea sio lazima kuwaeleza watu mambo yako!!! HahàaaaYani nikuoe kabla sijakugegeda then uje unikatie mauno kama feni mbovu huku na huku papuchi mbovu ... uwiiii ... Yesu Ruwaa nitawaeleza nini watu ...
Sent from my iPhone using JamiiForums
It's possibleMimi mi binti wa miaka 24 kila nikimpata mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano huwa najua ndo mume wangu kumbe sio mtu sahihi wa kuitwa mume.
Nimeshakuwa kwenye mahusiano Mara ya Pili Sasa..
Unakuta naanzisha mahusiano na mtu vizuri tu Ila akishanitajia sex basi simtaki Tena, nilijiwekea msimamo wa kutokufanya mapenz mpaka ntakapoolewa na Hadi Sasa nipo jinsi nilivyozaliwa(sijaguswa na mwanaume). Sasa kwa Karne hii kila mwanaume anataka kuonja onja na Mimi simpendi mtu mwenye Tabia Kama hii.
Hao niliokuwa nao walitaka sex ndo tuoane wakat Mimi nishajiwekea msimamo wa no sex before marriage.
Naomba niwaulize mabinti wenzangu Kuna alieweka msimamo kama wangu wa no sex before marriage kipndi Cha Mahusiano yake na akavumiliwa mpaka kuolewa??
We PO Upo
Haya..lala ukuweNipo
Haya..lala ukuwe
Wasalimie NC..Nikue mara ngapi
Mmmmh machale kundensaMimi mi binti wa miaka 24 kila nikimpata mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano huwa najua ndo mume wangu kumbe sio mtu sahihi wa kuitwa mume.