Nashindwa kuelewa kwanini sipati mtu sahihi katika mahusiano

Mimi mi binti wa miaka 24 kila nikimpata mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano huwa najua ndo mume wangu kumbe sio mtu sahihi wa kuitwa mume.

Nimeshakuwa kwenye mahusiano Mara ya Pili Sasa..

Unakuta naanzisha mahusiano na mtu vizuri tu Ila akishanitajia sex basi simtaki Tena, nilijiwekea msimamo wa kutokufanya mapenz mpaka ntakapoolewa na Hadi Sasa nipo jinsi nilivyozaliwa(sijaguswa na mwanaume). Sasa kwa Karne hii kila mwanaume anataka kuonja onja na Mimi simpendi mtu mwenye Tabia Kama hii.

Hao niliokuwa nao walitaka sex ndo tuoane wakat Mimi nishajiwekea msimamo wa no sex before marriage.

Naomba niwaulize mabinti wenzangu Kuna alieweka msimamo kama wangu wa no sex before marriage kipndi Cha Mahusiano yake na akavumiliwa mpaka kuolewa??
kizazi hiki bikra sio inshu ujue..kwanza mm nikikukuta bikra nakutema ukatafute bikra mwenzako then ukishatolewa tuendelee na mapenz...Sitak upuuz kbsa##bikra ilikuwa inshu zaman##
 
Back
Top Bottom