Nashindwa kuelewa kwanini CCM " Walimkata" Lowassa 2015

Lowassa hajawahi kupitishwa na CCM kwny Uchaguzi wa Rais mara zote mbili

Kamati ya maadili ya kina Lukuvi ilipobanwa na kina Hamis Mgeja kwny NEC june, 10 2015 pale Mjini Dodoma walijibu kuwa sababu na vigezo vilivyosababishwa akakatwa 1995 walivipitia na kujiridhisha bado ni valid…

wakati huo wapambe wake walikuwa wameandaa majibu ya hoja ya Richmond walidhan ndio ingetajwa kisababishi…yaani waliandaa majibu wakaingia nayo kwny pepa wakakuta swali la majibu waliyobeba halipo
Lakini alipoenda Chadema akashinda.

Akaporwa.

Ikabidi aitwe Mtume na Nabii TB Joshua kuja kumtuliza maana Bara na visiwani pasingetosha!
 
Wacha uongo sema mlimuandaa Membe lakini nae hakubebeka.
 
'…Uchaguzi unaanza wakati wa kuhesabu kura na kukamilika wakati wa kutangaza matokeo…'-Colonel Abdulrahman Omar Kinana

Sasa tuambie Lowassa alishinda wakati wa kampeni, au wa kupiga kura au wakati wa kuhesabu?
Lakini alipoenda Chadema akashinda.

Akaporwa.

Ikabidi aitwe Mtume na Nabii TB Joshua kuja kumtuliza maana Bara na visiwani pasingetosha!
 
Kwa mabadiliko na harakati zinazoendelea CCM tangia Magufuli atwaliwe na Mungu wa mbinguni utagundua kulikuwa hakuna sababu ya kumkata Lowassa mwaka ule wa 2015.

Na, inawezekana kabisa kuwa madai ya Chadema kwamba KURA za Lowassa Tanzania na maalimu Seif Zanzibar " zilitosha" yana kaukweli kwa mbali.

Ni dhahiri kabisa kwa sasa team Lowassa wanarejea kwa kasi na Team Mwendazake " ndio basi tena " labda wakabishe hodi Ufipa maana wengi walitokea huko hata Msukuma na Gwajima.

Jumaa kareem.

Leo ni Njia ya Msalaba!
Msukuma alikua Chadema? Umemfahamu lini bwana Kasheku?
 
'…Uchaguzi unaanza wakati wa kuhesabu kura na kukamilika wakati wa kutangaza matokeo…'-Colonel Abdulrahman Omar Kinana

Sasa tuambie Lowassa alishinda wakati wa kampeni, au wa kupiga kura au wakati wa kuhesabu?
Wakati wa Kupiga kura!
 
Wakati wa Kupiga kura!
Ndio kosa lenu…mmeshaambiwa Uchaguzi unaanza wakati wa kuhesabu kura na kumalizika wakati wa kutangazwa matokeo

Tukutane tena 2025 Inshallah Mungu akijaalia tutoe toe jasho kidogo la kisiasa na utakuwa uchaguzi changamfu kama wa 1995 na 2015
 
Uchaguzi ni 2030.

Dr Mwigullu Nchemba wa CCM vs Freeman Mbowe wa Chadema!
 
Nimemfahamu alipoitwa CCM na Magufuli akagombee udiwani!
Hajawahi kua Chadema huyo mkuu, huyu ni ccm miaka yake yote, sema hakua maarufu, amekua diwani enzi za Kikwete na akachaguliwa kua mwenyekiti wa madiwani huko Geita,

Alisumbua sana halmashauri Geita, alizuia sana upigaji hasa kwenye mafuta wakati Geita ikiwa ni sehemu ya Mwanza, baadae akatengwa but akaja kua mwenyekiti wa ccm Geita, vipindi hivyo vyote vilikua enzi za Kikwete; JPM anaingiaje hapo?

Remember walikua mikoa 2 tofauti, Geita ilikua ipo Mwanza na Chato ya Magufuli ilikua mkoani Kagera.

Rekebisha kidogo kumbukumbu zako mkuu, zipo tu hata humu jukwaani
 
Hajawahi kua Chadema huyo mkuu, huyu ni ccm miaka yake yote, sema hakua maarufu, amekua diwani enzi za Kikwete na akachaguliwa kua mwenyekiti wa madiwani huko Geita, alisumbua sana halmashauri Geita, alizuia sana upigaji hasa kwenye mafuta wakati Geita ikiwa ni sehemu ya Mwanza, baadae akatengwa but akaja kua mwenyekiti wa ccm Geita, vipindi hivyo vyote vilikua enzi za Kikwete; JPM anaingiaje hapo? Remember walikua mikoa 2 tofauti, Geita ilikua ipo Mwanza na Chato ya Magufuli ilikua mkoani Kagera. Rekebisha kidogo kumbukumbu zako mkuu, zipo tu hata humu jukwaani
Msukuma na Magufuli wametoka kijiji kimoja, kule Chato akina Magufuli walihamia kwa ajili ya ufugaji.

Na Magufuli ndiye alimwingiza Msukuma CCM akampa na hela ya kampeni za udiwani 2010.
 
Kwa mabadiliko na harakati zinazoendelea CCM tangia Magufuli atwaliwe na Mungu wa mbinguni utagundua kulikuwa hakuna sababu ya kumkata Lowassa mwaka ule wa 2015.

Na, inawezekana kabisa kuwa madai ya Chadema kwamba KURA za Lowassa Tanzania na maalimu Seif Zanzibar " zilitosha" yana kaukweli kwa mbali.

Ni dhahiri kabisa kwa sasa team Lowassa wanarejea kwa kasi na Team Mwendazake " ndio basi tena " labda wakabishe hodi Ufipa maana wengi walitokea huko hata Msukuma na Gwajima.

Jumaa kareem.

Leo ni Njia ya Msalaba!

Ubinafsi wa Gang
 
Msukuma na Magufuli wametoka kijiji kimoja, kule Chato akina Magufuli walihamia kwa ajili ya ufugaji.

Na Magufuli ndiye alimwingiza Msukuma CCM akampa na hela ya kampeni za udiwani 2010.
Mkuu aibu zingine ndogo ndogo zinaepukika. Hivi hata wakati Lowassa anazindua kampeni zake pale uwanja wa sheikh Amri Abeid Karume pale Arusha umesahau?

Baada tu ya Lowassa kuondoka ccm Msukuma na Chopper yake ni kama alinyang'anywa hata hili umesahau? Kama unashindwa kukumbuka vitu vya juzi, hilo la Msukuma na Magufuli la miaka zaidi ya 50 iliopita unaweza kukumbuka au unatunga tu?

Magufuli alizalwa Chato mwaka 1959, Msukuma ni wa juzi juzi miaka ya mwanzoni mwa 70, how unaweza kusema huyu alihamia sehemu fulani juzi?

Nina hakika hata original ya Msukuma huijui kama ilivyo ya Magufuli, imagine ya mtu kama Magufuli ambaye unaweza kuipata kirahisi tu hujui, hivi watu wengine ambao ni sio maarufu unaweza kujua kweli?
 
Mkuu aibu zingine ndogo ndogo zinaepukika. Hivi hata wakati Lowassa anazindua kampeni zake pale uwanja wa sheikh Amri Abeid Karume pale Arusha umesahau? Baada tu ya Lowassa kuondoka ccm Msukuma na Chopper yake ni kama alinyang'anywa hata hili umesahau? Kama unashindwa kukumbuka vitu vya juzi, hilo la Msukuma na Magufuli la miaka zaidi ya 50 iliopita unaweza kukumbuka au unatunga tu? Magufuli alizalwa Chato mwaka 1959, Msukuma ni wa juzi juzi miaka ya mwanzoni mwa 70, how unaweza kusema huyu alihamia sehemu fulani juzi??? Nina hakika hata original ya Msukuma huijui kama ilivyo ya Magufuli, imagine ya mtu kama Magufuli ambaye unaweza kuipata kirahisi tu hujui, hivi watu wengine ambao ni sio maarufu unaweza kujua kweli?
Hayo ninayokueleza ameyasema Dr Msukuma mwenyewe juzi kwenye kongamano la Kumbukizi la Magufuli pale SAUT Mwanza.

Kwahiyo kama wewe unamjua Msukuma kuliko yeye mwenyewe anavyojijua itoshe tu kusema tuishie hapo.

Msukuma:" ilibidi Magufuli apitie kwa mama yangu ili anishawishi kugombea udiwani ndipo nikamkubalia"

Wewe uko nyuma ya taarifa bwashee.

Hahahaaaa.......... Gang bhana!
 
Back
Top Bottom