Nguchiro
JF-Expert Member
- Nov 23, 2009
- 364
- 31
Wadau vipi,its my hope mko poa. Nahitaji ushauri kwani natumia laptop ya ASUS X453M ina Window 7 Professional ila nimedownload several pc games za kunikeep busy nikiwa idle ambazo zinaweza chezwa katika Window 7 ila kwangu naweza install game husika ila nikiifungua ili niicheze haifunguki, kuna mtu nilimuuliza akaniambia inawezekana kuna drives zina-miss, naomba ushauri tafadhali.