gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
wanajukwaa hili na wataalamu wa haya makitu @c6, Young_master, MziziMkavu na wengine nijuzeni jamani mbona mie laptop yangu haiconnect jf???
mwenzenu siko RIS ila kila nikitaka kuconnect naambiwa 'internet explorer is restricted to open unsecured ..................
mikifungua link naambiwa eti address iko https na http so hii yenye http haikubaliki kufungua nilipokwenda kwenye lock naambiwa eti imexpire sasa ndo nini hivi jamani?????
sasa leo nashangaa sana yaani hata nikitumia desk top ya ofisi bado tatizo ni hili hili sasa je tatizo ni modem ama ni browser ama ni mashine zenyewe ama ni JF??
Mentor mdogo wangu come at my rescue nashindwa kufurahia maisha ya jamvini

Last edited by a moderator: