Ludanha
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 552
- 647
Habari zenu wana jamvi ?
Mimi natumia huawei Y300 mwanzo ilikuwa poa tu ila sasa hivi kila niki download apps kutoka playstore inamaliza kabisa ila tatizo linakuja katika kufanya installation ya hiyo apps yaani inachukua muda sana halafu haifanikiwi na hainipi ujumbe wowote.
Nini itakuwa tatizo?