Nashindwa elewa profile yangu msaada please kwa wale wa nacte

shikiki

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
16
Reaction score
9
Katka profile yangu nimeandikiwa NOT SELECTED... Na katka machaguo manne kati ya matano niliyoomba nimeambiwa NOT ELIGIBLE...ila chaguo moja ndo nmeandikiwa ELIGIBLE niwait for selection....sasa nashindwa kuelewa niwait for selection wakat wamenambia not selected!!!! Msaada wadau jaman niwait au nifanye tena machaguo mapya???
 
shikiki kama uko dar fika ofic za nacte b4 deadline haijafika
 
hata sisi tunaosubiria confirmation matumbo joto wasipoconfirm cjui itakuwaje
 
Katka profile yangu nimeandikiwa NOT SELECTED... Na katka machaguo manne kati ya matano niliyoomba nimeambiwa NOT ELIGIBLE...ila chaguo moja ndo nmeandikiwa ELIGIBLE niwait for selection....sasa nashindwa kuelewa niwait for selection wakat wamenambia not selected!!!! Msaada wadau jaman niwait au nifanye tena machaguo mapya???
kuna uwezekano kozi hizo ambazo haupo eligible hauna qualification zinazohitajika kwa kozi husika. mfano una diploma ya mambo ya business au sheria afu unataka engineering au health courses. kingine labda matokeo yako ya o level. kuna vyuo vina specify kabisa qualification za o level wanazohitaji. kila chuo kina cut point zake kwa kozi tofauti chuo kinaweza kuwa na cut point ya gpa ya 3.5 au 3.8 kama minimum qualification kwa kozi husika ukiwa chini ya hapo utakuwa not elligible kwa kozi hiyo kwa chuo ulicho omba ni vema sana kusoma guide book na upitie mahitaji ya chuo katika kozi unayotaka kuomba ili kuondoa uwezekano wa kukosa selection
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom